Wabunge wanataka kodi za wanyonge ili wakajilipe Posho na Mishahara minono

Hao ni kuwatengenezea petitions za kutosha, na hashtags, za
#wabunge_walipe_kodi
#wabunge_wasilipwe_pension
#wabunge_wapunguziwe_mishahara

Everyday is Saturday............................... 😎

zile petition na hashtags za maandamano ziliishia wapi?
 
Ndiyo tuache kabisa hizi fikra binafsi ya kufikiri mbunge hastahili kuongezewa mshahara na posho kwa vigezo duni za uzalendo mtambue na kutathmini kazi kubwa wanazofanya kwenye majimbo
 
Ndiyo tuache kabisa hizi fikra binafsi ya kufikiri mbunge hastahili kuongezewa mshahara na posho kwa vigezo duni za uzalendo mtambue na kutathmini kazi kubwa wanazofanya kwenye majimbo
Mwalimu akidai ongezeko la mshahara Ni right Mbunge akidai kitu kimoja na mwalimu Ni wrong hii nchi niya ajabu sana
 
Back
Top Bottom