Wabunge wanaolipa uhai Bunge la Jamhuri ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanaolipa uhai Bunge la Jamhuri ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nchasi, Jun 13, 2011.

 1. n

  nchasi JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Jamani wanaja JF nawaomba/kuwasisihi tuwe wawazi, bila kuwa na itikadi, upendeleo wala ushabiki na ushushushu. Wabunge wa chama gani wanafanya maelfu ya watu kupenda kusikiliza/hata kuangalia bunge letu?. CHADEMA, CCM, CUF, NCCR, UDP, CCJ au chama gani.? Mimi bila kupendelea kama wasingekuwepo wabunge wa CDM wala nisinge sumbuka kuangalia wala kusikiliza bunge.
  Nawasilisha.
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wewe unaonaje? Hivi unapenda kusikia porojo za Wabunge wa CCM wanapotoa michango Mjegeoni au Upinzani? Na kama unapenda michango ya Wapinzani, unapenda michango ya Chama gani? Tupe mawazo yako kwanza.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mi kama sio John Komba nisingeangalia bunge kabisa. Huwa naliangalia lile tumbo najua wakati wowote linaweza kupasuka.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaaajaman mimi waziri anaehusika na mambo ya sera na uratibu wa mambo ya hao wabunge na bunge lenyeweeee
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mi pasingekuwepo na hoja nzuri za rostam aziz, andrew chenge,michango ya lowasa,michango ya vick kamata nsingejisumbua kuangalia bunge.
   
 6. L

  Luiz JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bigirita umeniacha hoi na coment yako kuhusu john komba ila mie napenda wabunge wanaotetea masilahi ya taifa sio wale wanapiga makofi bora siku iende
   
 7. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mmmh!!Biri hili nalo neno...!afu ongezea na Masharubu yaani huyu angefulia na Mindevu ile akakosa Ela ya wembe hakianani angekuwa kama shetani.
   
 8. T

  The Priest JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nyambari nyangwine.,nampenda sana.
   
 9. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbunge wangu analalaga sana wajameni
   
 10. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tindo liso namkubali sana
   
 11. K

  Kiguu na njia Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  namhusud sana muzee ya kiraracha!!!
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Rose Kamili aliyefungwa mdomo kwa kugawiwa ubunge.
   
 13. M

  Mhombo.S.G New Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi CDM ndo wananipa hamu ya kuangalia Bunge,wanawapa headache CCM,leo Mrema katuthibitishia tena kuwa yeye ni chama tawala,sio mpinzani
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mke wa Tindu lissu
   
 15. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni utani,changieni mada,mmeulizwa je n wa ccm,cdm,cuf,udp,......!binafsi napenda wapinzani coz wanaleta challenge,wanaifanya bunge kuwa tamu na kuvutia kuangalia
   
 16. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hasa CDM
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hahahahahaaaa! Mkuu umenivunja mbavu. Mimi kuanzia leo naanza mfatilia mh. Nyangwine, huyu bwana leo kaonyesha uwezo mdogo wa kuelewa, kongea na kujenga hoja... Anamapungufu so naanza kumfanyia research!
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haahahahaa! Speaker makinda humwita LINDU LISSU teh! Anamtesa kweli!
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Wewe ni mdogo wake wa Anna Makinda bila shaka. Utasikia Lindu Lisu kaa chini. Mimi nawakubali wengi miongoni mwa wabunge wa Chadema sepecifically Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Mnyika, Susan Lyimo, Halima Mdee, Ezekia Wenje, Mbunge wangu Msigwa, Chiku Abwao, Godbless Lema, Vincent Nyerere, Mchungaji Israel Natse,Susan Kiwanga, Regia mtema, Anna Maulidah Komu, Silinde na Esther Matiko. Pia Kafulila, Mkosamali (NCCR), Habib Mnyaa na salum Baruany (CUF) na Harrison Mwakyembe, Christopher Ole Sendeka na James Lembeli, Mama Tibaijuka na John Magufuli (CCM)
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  We bata, hakuna mke wa Tundu Lisu Bungeni
   
Loading...