Wabunge wanaoitwa Covid 19 watimiza mwaka mmoja wa Usaliti wao

Wewe ni mpumbavu mno,wapi unathibitisha waliapa mbele ya Bunge?hawa covid MPs kwa taarifa yako waliapishwa ofisini kwa speaker sio ndani ya Bunge!

Sheria za Bunge zinaitaji uwepo wa spika sio uwepo wa Bunge kilaza ww,
 
Leo imefika mwaka mmoja kamili tangu WALIOKUWA WANACHAMA WA CHADEMA wajiuze rasmi , na kusaliti mapambano ya kutafuta haki , ni mwaka kamili wa kushuka thamani yao kutoka juu hadi kuporomoka chini zaidi ya Sifuri .

Ni mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo cha Mhimili wa Mahakama , hii ni baada ya "watu wa serikali" kuingia ndani ya gereza kuwatoa watuhumiwa Twaha Mwaipaya na Nusrat Hanje ili Nusrat akaapishwe kuwa Mbunge , tena bila tamko lolote kutoka kwa DPP na huku Mahakama ikinyamaza kimya hadi leo !

View attachment 2022436
Hivi CHADEMA kama Chama kimechukua hatua gani baada ya kukata rufaa hao Covid19?
 
Leo imefika mwaka mmoja kamili tangu WALIOKUWA WANACHAMA WA CHADEMA wajiuze rasmi , na kusaliti mapambano ya kutafuta haki , ni mwaka kamili wa kushuka thamani yao kutoka juu hadi kuporomoka chini zaidi ya Sifuri .

Ni mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo cha Mhimili wa Mahakama , hii ni baada ya "watu wa serikali" kuingia ndani ya gereza kuwatoa watuhumiwa Twaha Mwaipaya na Nusrat Hanje ili Nusrat akaapishwe kuwa Mbunge , tena bila tamko lolote kutoka kwa DPP na huku Mahakama ikinyamaza kimya hadi leo !

View attachment 2022436
Yule Aida Kenan anachukuliwaje na Chama (CHADEMA)? Ni mbunge halali au la? Pia ni kama hana cheo chochote BAWACHA na wala hajasema lolote mahali popote (ikiwa ni pamoja na bungeni) kuhusu kesi ya Mbowe (hii ya tuhuma za ugaidi). Wala haonekani twitter na spesini..kunani? Erythrocyte
 
Kwa keo tujadili covid 19
 
Leo imefika mwaka mmoja kamili tangu WALIOKUWA WANACHAMA WA CHADEMA wajiuze rasmi , na kusaliti mapambano ya kutafuta haki , ni mwaka kamili wa kushuka thamani yao kutoka juu hadi kuporomoka chini zaidi ya Sifuri .

Ni mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo cha Mhimili wa Mahakama , hii ni baada ya "watu wa serikali" kuingia ndani ya gereza kuwatoa watuhumiwa Twaha Mwaipaya na Nusrat Hanje ili Nusrat akaapishwe kuwa Mbunge , tena bila tamko lolote kutoka kwa DPP na huku Mahakama ikinyamaza kimya hadi leo !

View attachment 2022436
Wanatafuna kodi zetu bila huruma wakati hawana sifa ya kuw Ma MP ipo siku tutawadai hz kodi zetu
 
Back
Top Bottom