Wamepiga pesa hesabu mill 11x12 =Mill 132! Kwa kuwa hawana uhakika wa kesho, wanajitahidi kubana matumizi na wana tumia shs elfu 50 kwa siku. Hivyo watakuwa wametumia million 6 kwa mwaka. Benki wameweka chenji ya million 114. Sema million 14 watatumia na million 100 Wakiziweka katika bond kila mwezi watapata million 1. Maisha yaendeleeLeo imefika mwaka mmoja kamili tangu WALIOKUWA WANACHAMA WA CHADEMA wajiuze rasmi , na kusaliti mapambano ya kutafuta haki , ni mwaka kamili wa kushuka thamani yao kutoka juu hadi kuporomoka chini zaidi ya Sifuri .
Ni mwaka mmoja wa kuadhimisha kifo cha Mhimili wa Mahakama , hii ni baada ya "watu wa serikali" kuingia ndani ya gereza kuwatoa watuhumiwa Twaha Mwaipaya na Nusrat Hanje ili Nusrat akaapishwe kuwa Mbunge , tena bila tamko lolote kutoka kwa DPP na huku Mahakama ikinyamaza kimya hadi leo !
View attachment 2022436