Wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile waongezeka Uingereza

Status
Not open for further replies.

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg

[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG] idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu.

Gazeti la Daily Mail limeandika kuwa wabunge Hannah Bardell na Nia Griffith wa Uingereza wamejitangaza hadharani wiki hii kwamba wanafanya maingiliano kinyume na maumbile. Kwa sasa Uingereza ina wabunge 35 mashoga wanaoifanya nchi hiyo kuweka rekodi ya dunia ya kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile.

Mbunge wa kwanza kujitangaza hadharani kwamba anajihusisha na vitendo vichafu vya liwati alikuwa Lord Criss Smith katika muongo wa 1980. Mwaka 1989 Lord Smith aliteuliwa kuwa waziri katika serikali ya Tony Blaire na kuwa waziri wa kwanza shoga katika serikali ya nchi hiyo.

Source:Daily Mail
 
Gazeti la Daily Mail limeandika kuwa wabunge Hannah Bardell na Nia Griffith wa Uingereza wamejitangaza hadharani wiki hii kwamba wanafanya maingiliano kinyume na maumbile.

Ninachokiona sasa hivi ni kuwa wazungu akili zimeshawaruka.Hivi mtu ukilala na wanamke au na mwanaume guest house unapoenda kuita press conference kujitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa jana ulilala na mwanamke au mwanaume akili mtu kama huyo anakuwa anazo kweli? Hizo ni private affairs za mtu.Hata waandishi wao wa habari naona wamekolea viroba na akili zao sidhani kama zinafanya kazi tena!!! Hii habari ni too private wala haikuhitaji kuandikwa.

Kama tangazo hilo walilitoa bungeni nahurumia pesa za walipa kodi wa uingereza hazijatumika vizuri kodi zao.
 
Hivi hawaoni Mbwa na wanyama wemgine wanajua huyu ni jinsia yake na hawagusani?
Sodoma na Gomora ilichomwa kwa sababu hizo
 
  • Thanks
Reactions: nao
Namkumbuka Mhe. Mrema aliposema hata bunge la TZ wapo wengi tuu!!!!!!! Hili jambo linahitaji tuingie kwenye maombi ya toba Mungu aiponye nchi yetu.

Msinyooshe vidole uingereza mkidhani TZ tuko salama.

Queen Esther

View attachment 324983

[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG] idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu.

Gazeti la Daily Mail limeandika kuwa wabunge Hannah Bardell na Nia Griffith wa Uingereza wamejitangaza hadharani wiki hii kwamba wanafanya maingiliano kinyume na maumbile. Kwa sasa Uingereza ina wabunge 35 mashoga wanaoifanya nchi hiyo kuweka rekodi ya dunia ya kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile.

Mbunge wa kwanza kujitangaza hadharani kwamba anajihusisha na vitendo vichafu vya liwati alikuwa Lord Criss Smith katika muongo wa 1980. Mwaka 1989 Lord Smith aliteuliwa kuwa waziri katika serikali ya Tony Blaire na kuwa waziri wa kwanza shoga katika serikali ya nchi hiyo.

Source:Daily Mail
 
Ninachokiona sasa hivi ni kuwa wazungu akili zimeshawaruka.Hivi mtu ukilala na wanamke au na mwanaume guest house unapoenda kuita press conference kujitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa jana ulilala na mwanamke au mwanaume akili mtu kama huyo anakuwa anazo kweli? Hizo ni private affairs za mtu.Hata waandishi wao wa habari naona wamekolea viroba na akili zao sidhani kama zinafanya kazi tena!!! Hii habari ni too private wala haikuhitaji kuandikwa.

Kama tangazo hilo walilitoa bungeni nahurumia pesa za walipa kodi wa uingereza hazijatumika vizuri kodi zao.
Wazungu wanaamini katika kusema ukweli na wasipofanya hivyo dhamira inawasuta. Kwa sisi weusi ukweli hauna thamani.
 
Hivi nauliza mnaposema kuingiliana kimyume na maumbile ni kwa wanaume tu au na wanawake!! Naona hayo majina kama ya kike vile!!
 
Hivi hawa pig's noses-humanoids wakati wanaingiliana kinyume cha maumbilie

Wakati population yao ikizidi kupungua

Kwanini,sisi waafrika tusiungane na kuunda taifa Moja?

Ndoto iliyotukuka ya Marcus Garvey lakini viongozi wetu wanaipuuzia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom