Wabunge waliosimamishwa hasara ni shs ngapi?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,490
13,551
Wakuu, great thinkers, hasa wahasibu njooni mtusaidie hapa.

Je, Waheshimiwa sana wabunge wetu wa bunge tukufu waliokosa maadili na kupelekea kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge watapoteza shs ngapi za posho? Na je kwa siku kweli ni laki tatu (300,000)? Kama ni laki tatu;

  1. Mh. John Heche atapoteza (300, 000 x vikao 10)==milioni tatu (3,000,000)
  2. endeleza wengine, halafu tuje tupige mahesabu kwa ujumla wao
Nawasilisha!
 
wamesimamishwa lakini posho zao watalipwa.


swissme
Sidhani kama unaweza kulipwa posho ya kikao ambacho hujahudhuria! wataendelea kupata mishahara yao kila mwezi lakini sio posho za kukaa bungeni
 
Back
Top Bottom