Wabunge wafanyiana ujinga Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wafanyiana ujinga Bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jul 26, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika hali ya kushangaza,imegundulika kuwa kuna wabunge wanawaandikia wabunge wenzao vijibarua feki.Miongoni mwa wahanga wa upupu huu ni mheshimiwa joseph selasini na leticia nyerere.Mheshimiwa selasini alipokea kijibarua kinachoonesha kwamba anaitwa na waziri mkuu pinda na kama haitoshi kijibarua hicho kimefojiwa sahihi ya waziri mkuu pinda.Baada ya kukipata kibarua hicho,mheshimiwa selasini kwa adabu na unyenyekevu alijongea kule aliko waziri mkuu.Kilichotokea hapo ni kila mtu kumshangaa mwenzie,pinda akiwa hajui nini maana ya ujio wa mheshimiwa selasini na selasini mwenyewe akiduwazwa na mshangao wa mheshimiwa pinda kwake.Hawa wabunge wetu kama si utoto ni nini?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hii kali kweli kweli
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Hii ndo hasara ya kuwa na wabunge wengi wa viti maalum,nahisi kama ni wao wanaoshinda wanafikiria mzaha tu!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  hili bunge sasa kituko......khaaaaa!!!!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  umeona eee:) hapa kuna siku tutasikia mtu kafungwa jiwe kwenye suti yake.. hahah si unakumbuka mambo ya primary school? mtu anasimama kafungwa jiwe au karatasi
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli santa ivuga,umeona mbali.
   
 7. T

  The Priest JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni maajabu,yan wengne wanajadili mambo ya msingi kuhusu mustakabari wa taifa,wengne wanaleta tabia za kimsingi,afu ndio kila siku wanataka posho,leo nimesikitika sana,wafanye investgatn ili tuwajue hao wanaokula pesa zetu bure!
   
 8. T

  The Priest JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii si sawa!kuna wabunge wa special seats makini sana!
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti wa bunge mheshimiwa simbachawene ameahidi hili suala litafanyiwa upelelezi kwa kina kwa ku-trace miandiko katika vijibarua hivyo.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mtakatifu Ivuga, ni bora hata wakafungana mawe kuliko wakiamua kucheza michezo ya baba na mama au wakaamua kupimana nguvu kwa kudundana. Hili bunge ni full comedy
   
 11. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wataanza kuwekeana big G kwenye viti...teh teh teh!
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Shame upon dem nincompoops!
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  jk safiiiiiii!!!!! Ongeza warembo wengine bungeni, utashangaa siku Letisia anakujia kutaka umpe sh 1,000,000 ya promise, utashangaa hadi udondoke kumbe kaandikiwa kimesseji na mbunge mwingine
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  litakuwa sio jambo la kushangaza ..
  -kwani watakuwa /litakuwa sio bunge kla kwanza kuchapana makonde
  -kwa kauli za JK kuwa mashine sio sawa na koti kuwa ukienda dukani utaikuta na kuwa yeye sio mawingu mtu anaweza kurusha ngumi kabisa kwa hizi kauli na hakuna kulaumiana kwa hili
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  90% ya wabunge wa viti maalum wa CCM hawana kazi yoyote wanayoifanya bungeni na ndo hawa wanaoshinda wanaleta mizaha mjengoni,wako kimasihara zaidi,kupaka wanja na kuchekana...wanatakiwa waondolewe wabaki real representatives wenye kujua wanawajibika kwa nani na kwa nini wako bungeni
   
 16. m

  mwl JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 180
  Halafu wabanduane eeeeh.
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii imenikumbusha wakati tunasoma shule ya kata!
   
 18. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani wakichoka kusizia wanafanya hayo tena? Hakika wakiwa mjengoni hawakumbuki shida zetu huku mitaani, nivyema waondolewe posho ili nao wasiwe na uhakika wa kula kama sisi tuone kama watafanya upuuzi huo tena mbungeni.
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo ninaona Lema anafaa sana kuwa Mbunge kwenye bunge hili la sasa maana upuuzi ukizidi yeye anaropoka tu "Fungeni Milango tupigane". Mie naona zingelitandikwa siku moja, wabunge wangelikuwa WAKITAFAKALI au KUSIKILIZA KWA MAKINI wakiwa na wameshika bastola.

  Sasa mbunge kama huyu hapa, eti yupo bungeni kweli na analipwa kwa kazi hii:

  [​IMG][​IMG]
   
 20. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mimi naona kumpata mwandikaji hicho kijibarua ni simple!kwan kakipataje?si kuna wale makarani kazi yao ndio kusambaza hivyo vijibarua?waulizwe wanajua wamevitoa wapi!akigundulika atangazwe hadharani kama ni mbunge wa kuchaguliwa akija jimboni tunamzomea!kama viti maalumu apigwe chini maanake hajui kilichompeleka hapo!
   
Loading...