Wabunge waanzishe utaratibu wa kumwondoa Spika Ndugai

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Kutokana na kulifanya bunge kuwa stamp rubber ya serikali wakati wa Magufuli, naomba wabunge bila uoga waanzishe huo mchakato wa kumumpeach spika Ndugai maana ni amekuwa spika dhaifa tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania.

Hapa ndipo napowakumbuka wabunge vidume kina Njelu Kasaka, Chrisant Mzindakaya, Sebastian Kinyondo, Mateo Quresi, Patrick Qorro sio hawa wanaosema kila kitu ndioooo.
 
Hongera kwa kuchangia hiyo hoja. Umechangia hadi umepata "like"
2787179_2769132_IMG_20210510_122414.jpg
 
Pale hakuna bunge,pale kuna kikundi cha ccm kilichopora mamlaka ya wananchi
 
Kutokana na kulifanya bunge kuwa STAMP RUBBER YA SERIKALI WAKATI WA MAGUFULI Naomba wabunge bila UOGA waanzishe huo mchakato wa KumIMPEACH SPIKA NDUGAI MAANA NI AMEKUWA SPIKA DHAIFA TANGU KUPATIKANA KWA UHURU WA TANZANIA HAPA NDIPO NAPOWAKUMBUKA WABUNGE VIDUME KINA NJELU KASAKA CHRISANT MZINDAKAYA SEBASTIAN KINYONDO MATEO QURESI PATRICK QORRO SIO HAWA WANAOSEMA KILA KITU NDIOOOO
Ndiyooo na kishindo kikubwa cha makofi juu ya meza.
 
Back
Top Bottom