Wabunge wa viti maalum kule CHADEMA hawana hamu ya kuhamia CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,442
Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why?

Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Fungu limetengwa kwa ajili ya wabunge wa majimbo ikiaminiwa kuwa ccm itapata mvuto. Ni suala tu la mwenyekiti wa ccm kutenga fungu kwa ajili ya kuwanunua na hao.
 
Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why?

Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa viti maalum mchakato wa ccm ni mgumu sana kulingamisha na ule wa cdm au cuf, wanajua wakipoteza upande hup, ccm hawatavuka viunzi, ni wamesoma alama za nyakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada Msalimie sana Husba Mwilima. Huyu Mbunge ni wa chama chetu ambaye huwa ananogesha matukio mbalimbali. Anatufaa
 
Back
Top Bottom