Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
149
Ndugu Wana JF,

Nadhani ni jambo la busara wabunge wetu wote wa kambi ya upinzani ambao ni zaidi ya 50 waungane pamoja ili tuweze kupata speaker ambaye ataweza kuliongoza bunge kwa kujali maslahi ya taifa bila uoga na kwa ujasiri mkubwa, kwa mtazamo wangu mama Anne Kilango ni kamanda mzuri kumuunga mkono, na kutakuwa na wabunge wa CCM watakaemuunga mkono ambao wanapenda uadilifu, lakini tukifanya mchezo Kinana anaweza kuwa speaker na hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa wapenda mabadiliko kote Tanzania, ndani ya ccm na ndani ya vyama vya upinzani.

Hivyo wapenda mabadiliko wote inabidi wajipange vizuri ili kuhakikisha tunapata speaker attakaeliwezesha bunge kupeleka agenda za mabadiliko na uwajibikaji serikarini.

Napenda kuwakilisha hoja.
 
Who is Kinana? kinana kinana wacha preasure zako bwana hapati kura hata moja,,, na huyo kinana na mpango wake wa kuiburuza nchi hii we mwache tu,, Wananchi tumefunguka vya kutosha sana hawi Speaker hata kidogo,,
 
Nadhani wewe hujaelewa hi game inachezwa vipi,Wabunge wa upinzani unawahusisha vipi kwani wanaingia kwenye vikao vya ccm,ccm watateua mtu wao kwenye vikao vyao ndo aje agombee uspika.
 
who is kinana? Kinana kinana wacha preasure zako bwana hapati kura hata moja,,, na huyo kinana na mpango wake wa kuiburuza nchi hii we mwache tu,, wananchi tumefunguka vya kutosha sana hawi speaker hata kidogo,,
hata mimi simpendi lakini sasa all the powers are with ccm ,wana majority

wanachi tulitakiwa tukomae kuingiza wabunge wengi wa upinzani
 
Kinana akiwa spika litakuwa ni pigo kwa CCM yenyewe, kwa vile viatu vya Samweli Sita hataweza kuvivaa, hata kidogo. Kitakachofuata ni kurushiana mateke na mingumi ndani ya Bunge!!. CCM haiwezi kufanya hivyo. Kinana analiogopa Bunge kama nini? Umemwona lini anang'ang'ana na uteuzi wa Ubunge??? Hata yeye Kinana anafahamu fika kwamba hawezi hiyo post!!. Ninyi tu, ndo mnataka kumlazimisha awe spika!

Hatakubali ng'o!!!!
 
Nadhani wewe hujaelewa hi game inachezwa vipi,Wabunge wa upinzani unawahusisha vipi kwani wanaingia kwenye vikao vya ccm,ccm watateua mtu wao kwenye vikao vyao ndo aje agombee uspika.

Hata kama kwani hujui kansa iliyopo ccm? ufa uliopo hauwezi kuzibika kamwe hata wafanye nini, labda mafisadi wajiondoe huko. Kumbuka kuwa kuna wazalendo wa kweli na hilo genge lingine linaloongozwa na mwenyeki wao.
 
Nadhani wewe hujaelewa hi game inachezwa vipi,Wabunge wa upinzani unawahusisha vipi kwani wanaingia kwenye vikao vya ccm,ccm watateua mtu wao kwenye vikao vyao ndo aje agombee uspika.

Kama CCM watampitisha kinana na akashinda basi tutegemee mvurugano mkubwa ndani ya ccm hapo bungeni
 
"ukistaaju ya Musa utashanga ya filauni"
nyie tulieni tu muone watakavyo chakachua spika wao

hapo ndo mtajua chama chakupindua ni noma!!
 
Wamchague huyo huyo domo-kaya Kinana ili asaidie kuwatia hasira Watanzania kwa ajili ya 2015
 
Yani hapo watakavyochakachuana wenyewe kwa wenyewe mpaka mtafurahi,kama paka vile kuvitafuna vitoto vyake.Nyerere alishasema hayo ukila nyama ya mtu huachi kamwe!Tena si mnakumbuka kwenye maoni walivyochakachuana?kuchakachua kupo kwenye damu yao.
 
I do not support Neither kinana na KIrango
Neither of these can fit for this post

Motto wao ni Sitta
 
umesha ambiwa hicho chama cha mapinduzi unategemea nini!!!????
mpaka wauwaji sasa wanataka kuwa maspika haya sasa!!!
 
lakini sita alikuwa anafaa sana mafisadi wanaujia moto wake!!!
ila kwa mwendo aliokwenda nao hawata mrudisha tena hawamtaki anawachachafia sana!!
 
I do not support Neither kinana na KIrango
Neither of these can fit for this post

Motto wao ni Sitta

Sheka Ernesto, Samwel Sitta ni mnafki bora mama Anne Kilango ana msimamo, basi Dr Harrison Mwakyembe achukue form lakini najua hawezi kumpinga samwel Sitta, mi najua CCM watamtosa Sitta kwa sababu kinana yupo group ya kina makamba na hawamfagilii Sitta
 
hapo hali ni ngumu sana!
1.Sitta hawezi rudishwa kwa hofu ya perfomance yake ya last time, actually ccm wanajuta kumweka pale, maaana through yeye tumejuzwa meengi sana.
2.Kilango pia hawawezi kumkubali, maana kumweka huyu ni sawa na kumweka Mzee waTingatinga!,..ambaye wamemweka kushoto mwa siasa za Bongo...Lakini pia mama huyu kuna shaka sana na uwezo wake kupambana na hoja kali za kisiasa, na kujibu kwa busara maswali magumu ya kiuamuzi.
3.Wamweke vIJISENTI ILI TUUE SOO KIRAHISI 2015...
 
...itakuwa vyema sana kama wakimpitisha Chenge kudisplay upumbavu wao kwa kiwango cha juu! CCM haiwazi lolote kuhusu merit na ufanisi anaotakiwa kuwa nao mtu, bali wao wanawaza nani atalinda maslahi yao, ndio maana wameingiza bungeni kila aina ya uchafu, na haitashangaza wakampitisha hata huyo vijisenti au kinana kuwa spika!
 
Kinana akiwa spika basi magaidi wa kisomali watajaa Tanzania na Tembo wetu wote watamalizika huko mbugani!!
 
Back
Top Bottom