Wabunge wa upinzani kuwekeza kwenye mambo ya kitaifa badala ya kijimbo ni kukosa mwelekeo?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Toka upinzani umeanza nchini wabunge wa upinzani wamekuwa wakijijengea umaarufu katika mambo ya kitaifa na sio ya kijimbo kama eneo lao la kazi.

Leo ikisisikika njaa wote wanaweka kambi, mafuriko au janga wote wanaweka kambi. Ninavyofahamu chama cha siasa kinaviongozi wa kitaifa kwa ajili ya mambo ya kitaifa. Kuzungumzia mambo ya kitaifa sio dhambi lakini ni heshima iliyotukuka kwa mbunge kuwa maarufu kwa kile alichokitenda jimboni zaidi.

Mtazamo huu unalengo la kukosoa kwa kujenga kwa maana kama kila mbunge akiwekeza katika mafanikio ya jimbo basi taifa litakuwa kwa kasi huku wale wa kitaifa wakishughulika na mambo ya kitaifa.
 
Mbunge anaweza kufanya kazi zote bila athari yoyote ile.

Kwamba anaweza akafanya kazi za jimbo na pia linapotokea jambo la kitaifa akalisemea na kusiwe na tatizo lolote lile.

Mfano issue ya Escrow aliibua Kafulila, lakini sikuona kama ilimrudisha nyuma kwenye kazi zake za Jimbo.

Na sote tunajua Kafulila alishinda 2015 ila CCM walichomfanyia wanakijua. Walishajua akirudi bungeni kwa jinsi alivyowashugulikia kwenye Escrow itakuwa hatari zaidi.
 
Uzoefu unaonyesha wengi wanawekeza huku wakiwasahau waliowapa dhamana.
Mfano sijui kama kaibiwa au alishindwa kafulila nini kafanya jimboni ambacho hakitasahaulika ukiacha escrow ambayo hadi anaileta bungeni tayari gazeti la citizen lilikuwa limeshatueleza kama nakosea hapo kwenye origin source ya escrow saga nakosoleka
 
Pesa kwenye majimbo yao wanapewa kwa mafungu wakati majimbo ya ccm wanapewa pesa 100% unategemea nini? Tujifunze kuandika kwa kujiuliza tusiandike tu
 
Kwani wapinzani sio watanzania?
Maoni yangu sio kukataa kuhoji mambo ya kitaifa ila uwekezaji mkubwa ukiwekwa kwenye wananchi waliomchagua zaidi ya vitu vya kitaifa maana chama kina watu wake wa kitaifa kuzungumzia itasaidia.
Mfano zzitto na buzwagi hadi akafukuzwa bungeni lakni hadi Leo inafungw bila kufunguliwa hajawahi kuzungumzia tena. Maana Yake tukio likipigiwa kelele linaachwa linatafutwa lingine wakati matatizo ya jimbo yako constant.
Kuna faida gani kwa mwananchi wa jimboni.
Hii ni changamoto kwa wahusika
 
Akiongelea mambo ya kitaifa kwa ujumla ina maana hilo jimbo lake liko nje ya Nchi?

Acheni Ujuha!!
Angewataarifu hayo waliomchagua pia.tusikie siku moja mpinzani anafukuzwa bungeni kwa kudai mambo ya jimbo lake kidogo kunakuwa na balance.
 
mnataka maswala ya Lugumi,escrow ,IPTL tusiyajue ?? kwataarifa yako tu mbunge ni mbunge wa jimbo lake na mbunge wa taifa pia
 
Toka upinzani umeanza nchini wabunge wa upinzani wamekuwa wakijijengea umaarufu katika mambo ya kitaifa na sio ya kijimbo kama eneo lao la kazi.

Leo ikisisikika njaa wote wanaweka kambi, mafuriko au janga wote wanaweka kambi. Ninavyofahamu chama cha siasa kinaviongozi wa kitaifa kwa ajili ya mambo ya kitaifa. Kuzungumzia mambo ya kitaifa sio dhambi lakini ni heshima iliyotukuka kwa mbunge kuwa maarufu kwa kile alichokitenda jimboni zaidi.

Mtazamo huu unalengo la kukosoa kwa kujenga kwa maana kama kila mbunge akiwekeza katika mafanikio ya jimbo basi taifa litakuwa kwa kasi huku wale wa kitaifa wakishughulika na mambo ya kitaifa.

na hicho ndo kitacho mhukumu kwenye uchaguzi, mtu akishaakuwa mbuge anazurura tu ataki kuja jimboni eti yeye ni mbunge wa kitaifa halafu anasubiri tena hao wapiga kura awambie mblamblaa ..mbona mbuge kama nasari anapambana na shida za wabunge wake, mbowe yeye anazurura tu huko na huku , jimboni hatuna maji ya kueleweka , eti ni mbunge wa kitaifa
 
Ni kweli. Kwa mfano TL ni mbunge anayeyapa kipaumbele sana mambo ya kitaifa kuliko jimboni kwake. Ni kwa sababu hiyo hiyo utakuta mkoa anakotoka ni moja kati ya mikoa MASKINI kabisa katika nchi yetu.
 
Wabunge wa upinzani ni hovyo kuwahi tokea , toka tunapata Uhuru hatujawaji pats wabunge hovyo kama wa upinzani! Hawajielewi kabisa!
 
Vijana wa CCM nani aliyewaroga?? Sasa ndo mada gani hizi mnaleta hapa JF!!Mbunge yoyote ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Anaweza akawa Mbunge kwa kuteuliwa ,Viti maalum au kupitia Jimbo.

Sasa kwa hoja yako ulitaka wabunge wa kuteuliwa ndio wazungumzie mijadala ya kitaifa kwa sababu hawana majimbo au??

Kama ingekuwa hivyo vipi kuhusu kutunga sheria ambayo ndiyo kazi ya msingi ya Bunge? Kaa ukijua sheria hizo zinahusu Tanzania bara yote bila kujali jimbo na wakati mwingine zinahusu Tanzania nzima.

Vipi kuhusu kazi ya kuisimamia Serikali? Unataka wabunge waisimamie serikali kwenye mambo yahusuyo majimbo yao tu?

Sio lazima uanzhishe uzi kama huna jambo la maana.
 
Tatizo katumwa.
 
logic kaliiiiii.umemaliza mjadala tuwape elimu tu wataelewa
 
Wabunge wa upinzani ni hovyo kuwahi tokea , toka tunapata Uhuru hatujawaji pats wabunge hovyo kama wa upinzani! Hawajielewi kabisa!
Tatizo LA kukosekana kwa Maji sio LA Mbunge, ni LA serikali, lakn him mmekuwa maskini wa kufikiri, mapato yote wakusanye serikali halo Maji ni mbunge, kazi ya Mbunge no kuwakilisha wananchi wake bungeni, Lkn serikali icpotekeleza lawama kwa mbunge!,
 
Vijana wa CCM nani aliyewaroga?? Sasa ndo mada gani hizi mnaleta hapa JF!!Mbunge yoyote ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Anaweza akawa Mbunge kwa kuteuliwa ,Viti maalum au kupitia Jimbo.

Sasa kwa hoja yako ulitaka wabunge wa kuteuliwa ndio wazungumzie mijadala ya kitaifa kwa sababu hawana majimbo au??

Kama ingekuwa hivyo vipi kuhusu kutunga sheria ambayo ndiyo kazi ya msingi ya Bunge? Kaa ukijua sheria hizo zinahusu Tanzania bara yote bila kujali jimbo na wakati mwingine zinahusu Tanzania nzima.

Vipi kuhusu kazi ya kuisimamia Serikali? Unataka wabunge waisimamie serikali kwenye mambo yahusuyo majimbo yao tu?

Sio lazima uanzhishe uzi kama huna jambo la maana.
Umeeleza vzr sana mkuu
 
Ni kweli. Kwa mfano TL ni mbunge anayeyapa kipaumbele sana mambo ya kitaifa kuliko jimboni kwake. Ni kwa sababu hiyo hiyo utakuta mkoa anakotoka ni moja kati ya mikoa MASKINI kabisa katika nchi yetu.

Inamana ye ndo mbunge pekee ndani ya mkoa wa Singida?asipousemea mkoa,wengine wausemee,bora ungesema jimbo lake,mkoa anaotokea asiekosea ndo unamigodi kbao lakini mojawapo ya mikoa maskini kabisa Tz
 
Toka upinzani umeanza nchini wabunge wa upinzani wamekuwa wakijijengea umaarufu katika mambo ya kitaifa na sio ya kijimbo kama eneo lao la kazi.

Leo ikisisikika njaa wote wanaweka kambi, mafuriko au janga wote wanaweka kambi. Ninavyofahamu chama cha siasa kinaviongozi wa kitaifa kwa ajili ya mambo ya kitaifa. Kuzungumzia mambo ya kitaifa sio dhambi lakini ni heshima iliyotukuka kwa mbunge kuwa maarufu kwa kile alichokitenda jimboni zaidi.

Mtazamo huu unalengo la kukosoa kwa kujenga kwa maana kama kila mbunge akiwekeza katika mafanikio ya jimbo basi taifa litakuwa kwa kasi huku wale wa kitaifa wakishughulika na mambo ya kitaifa.
Tatizo ni kwamba hawatoshi.
 
Back
Top Bottom