Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Kumekuwepo na kelele za mara kwa mara wabunge wa Upinzani kutaka kupigiwa salute na Jeshi la Polisi, ni kweli ni sawa kwa heshima yao. Kama DC anapigiwa Salute basi hii itakuwa sawa maana Mbunge yeye anadhamana ya wananchi lakini DC anadhamana ya Rais kwa wananchi.
Swali langu hapa je, wabunge wa CCM wanapigiwa Salute na Jeshi la Polisi? kama hakuna mbona upande wa pili wana lalamika sana.
Ok, Madiwani nao wapigiwe Salute na Polisi? sijajuwa mfumo wetu wa Utawala ni nani anapaswa kupigiwa Salute?
Vipi DAS na RAS nao wanapigiwa Salute?
Hivi umteue Deogratius Kisandu ambaye pia ni mwanasiasa kwa Asili kuwa Polisi halafu ampigie Salute Mwanasiasa mwenzake? hahahahahahahah
Hivi ni nani hasa anapaswa kupigiwa Salute? maana duh
Rejea habari hapo chini ya Mbunge wa CDM.
Deogratius. N. Kisandu
8 Januari 2017
HUYU MBUNGE AGOMA KUWASAIDIA POLISI KISA HAWAMPIGII SALUTI - The Choice