Wabunge wa upinzani ambao 2020 ni ngumu kurudi bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa upinzani ambao 2020 ni ngumu kurudi bungeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by GALLABA, Apr 29, 2017.

 1. G

  GALLABA Member

  #1
  Apr 29, 2017
  Joined: Dec 19, 2016
  Messages: 63
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 40
  Kutokana na mienendo yao sasa hv, ni wazi wabunge wafuatao ni ngumu kurudi tena bungeni ama waapata changamoto nyingi sana kurudi bungeni

  1.Saed Kubenea(Ubungo): huyu amewaangusha sana upinzani tulitegemea alete changamoto nyingi sana bungeni awe front line na kina tundu lissu,mbowe na mnyika bungeni , lakini kumbe nguvu yake ni ya kalamu tuuu, atapata upinzani mkubwa sana kama Boniface jacob meya wa ubungo na mentor wake kisiasa ataamua kugombea ubunge, viel vile kuwa mbunge wa ubungo needs much creativity kwasababu ni jimbo lenye changamoto nyingi ,ushauri aende kugombea kwao mafia

  2.Micheal Jaffary.(Moshi Mjini):kumekuwa na mgogoro mzito katika chama chake hasa wilaya, na inesemekana haelewani vizuri na ndesamburo ambaye ni mwenyekiti wake mkoa, huyu anaweza asifurukute kura za maoni. lakini amekuwa na hoja nzuri sana jimboni na mchapakazi kwa wapiga kura wake

  3.Joseph Mbilinyi (Mbeya Mjini): Huyu namuona kama hayupo serious sasa hv, anafanya vitu kimasihara sihara, anatakiwa ajipange sana kwani hajui CCM wamejipanga vipi mbeya mjini na anaweza kupata upinzani mkali pia ndani Chama, naona amefocus sana na maisha yake binafsi na hoteli yake anayojenga. ujana bado pia unamsumbua

  4.Magdalena Sakaya(Kaliua): Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza, kwani mpaka sasa hv hajui hatma yake kisiasa, ni kama ameweka jimbo lake rehani kisa Lipumba, kwasasabu ameshafukuzwa uanachama. anasubiri hatma ya mahakama

  5.Maftah Nachuma(Mtwara Mjini): Huyu nae sijui pepo gani lilimwingia, Mahaba kwa Prof.Lipumba yamemponza pia, nae ni mbunge wa mahakama kwani alishafukuzwa Uanachama, naona vijana wengi wa sasa hv hawajui mahesabu yao kisiasa, ajifunze kwa Machali
   
 2. karekwachuza

  karekwachuza JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2017
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 886
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Hiyo sio hoja
   
 3. Shindu Namwaka

  Shindu Namwaka JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2017
  Joined: Sep 22, 2014
  Messages: 4,544
  Likes Received: 2,668
  Trophy Points: 280
  Maftaha na Magdalena sakaya nakupa‚ąö

  Kuhusu Sugu Raisi wa mbea, kubenea,na Michael Jafari hao Wataendelea Kupeta
   
 4. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 11,471
  Likes Received: 12,112
  Trophy Points: 280
  Na Rais magu nae hatarudi magogoni na serikali yake ya bashite


  Swissme
   
 5. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2017
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 5,326
  Likes Received: 11,581
  Trophy Points: 280
  Robo tatu ya maccm hawarudi...
  Bila kusahau ba-bash kuwa atatokea mlango wa nyuma pale magogon
   
 6. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2017
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Hao na. 1,2, na 3 wataondoka kwa sababu sio wenzetu wa kithuthio.
   
 7. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2017
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Na hao 4 na 5 hawatakiwi na CHADEMA.
   
 8. mwenye shamba

  mwenye shamba JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2017
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 679
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 180
  Kuna hawa,1.lorencia bukwimba wa busanda,2.kanyasu wa geita mjini hawa watu kama uchaguzi utakuwa wa haki hawatarudi kamwe bungeni.hawajui majukumu yao kbs
   
 9. chaggaa15

  chaggaa15 JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2017
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 482
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 80
  Joseph Selasin-Rombo harudi huyo
   
 10. m

  mchoti tz Member

  #10
  Apr 29, 2017
  Joined: Apr 14, 2017
  Messages: 20
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Umetumia vigezo vipi kusema hawatarudi? Ww mwenye shamba tulia utaona uliowataja watakavyoibuka kidedea
   
 11. m

  mwakibete JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2017
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,292
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Namba 3 rekebisha. Nadhani hujatujua watu wa Mbeya.
   
 12. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2017
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Nadhani huijui Mbeya wewe. Sugu huwezi kumng'oa Mbeya. Kwanza CCM haiwezi kuchaguliwa Mbeya.

  Nawashauri NEC wagawe jimbo la Mbeya na Arusha maana yamekuwa na wapiga kura wengi. Hapo najua watakuwa wameongeza wabunge wa CDM wengine wapya.

  Mungu Ibariki Mbeya na wabariki wanaoishi huko na wanafiki wote wahame isiwe kama Mkoa wa Tabora. Tabora ccm = 80%, Mbeya ccm = 30% na hiyo ni kizazi cha wazee yaani above 55% na wale antibook.
   
 13. M

  Mugabe one JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2017
  Joined: Nov 15, 2016
  Messages: 1,174
  Likes Received: 757
  Trophy Points: 280
  Brain yako inautitiri
   
 14. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2017
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,663
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Jumanme Maghembe lazima ang'oke jimbo la Mwanga ni mali ya kamanda Hendry Kilewo.
   
 15. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 15,823
  Likes Received: 56,692
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi yaani ungewaandika woteeeee, kasoro wawili tu na sio watafuta kiki za blah blah kila kukicha.
   
Loading...