Wabunge wa UKAWA ni wendawazimu?

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
WABUNGE WA UKAWA NI WENDAWAZIMU?

NOVEMBA 16 Mwaka huu, Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia ( CHADEMA) Tundu Lissu alinukuliwa akisema leo UKAWA wataakikisha wanafanya vurugu kwa kusimama ndani ya bunge na kuakikisha Rais Dk.John Magufuli hatoweza kuhutubia Bunge kwasababu Rais Magufuli siyo Rais na wao hawamtambui.

Kweli Leo saa Kumi jioni tumeshuhudia wabunge wanaounda umoja wa UKAWA wakifanya Fujo ndani ya Bunge tangu alipoingia Rais Magufuli, Rais wa Zanzibar, Dk.Mohammed Shein, Makamu wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, Makamu wa Rais Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa , Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Jaji Mkuu wa Zanzinzibar .

Wabunge wa UKAWA wakiwa wamesima wakati wakifanya Fujo hizo ambazo zimewashushia heshima Mbele za watu wenye akili timamu ,wazalendo wa kweli walikiwa wakisikika wakisema " Maalim Seif ,Maalim Seif".

Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na ambaye alikuwa ni mgombea urais
Katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 Mwaka huu, ambapo Tume ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC) ,ilibaini dosari Katika kura zilizopigiwa Zanzibar hivyo ikatangaza Kuufuta uchaguzi ule hadi tarehe nyingine serikali ya Zanzibar itakapotoa taarifa .

Tangu ZEC ifute Matokeo ya kura za Zanzibar tumeshuhudia Maalim Seif ,aliyekuwa mgombea urais Tanzania, Edward Lowassa ,Tundu Lissu na wana UKAWA wengine Mara Kadhaa wamejitokeza hadharani wakipinga uamuzi huo wa ZEC na kusema Hawatashiriki uchaguzi wa marudio.

Tukiachana na historia hiyo Turejee Katika mada yetu ya Msingi.Kwanza napenda Kusema kilichofanywa na Wabunge wa UKAWA Leo ni uhuni, na pia ni Ishara Mbaya kwa Wapiga kura waliowapigia kura wa aina hiyo kura zao zimepotea bure Kwani wameteua watu ambao ni wahuni maana mhuni anafanya vitendo Vya Uvunjifu wa Sheria, mila na desturi na ndicho kilichofanywa na wabunge wa UKAWA Leo. Kitendo cha UKAWA kufanya Fujo wakati rais Magufuli anakuja kuzindua Bunge ni kumuonea na pia ni kutojielewa.

Maana Ibara ya 38(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema " Rais atachaguliwa na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na kwa mujibu wa sheria itakayoweka masharti kuhusu uchaguzi wa Rais ambayo itatungwa na Bunge kwa kufuata Masharti ya Katiba hii".

Sasa Magufuli ni rais aliye chaguliwa na wanachi waliowengi kwa mujibu wa Katiba .Sasa ni ajabu kikundi kidogo cha Wabunge wa UKAWA kinaibuka kinaanza kudharau maamuzi ya wananchi waliowengi waliomchagua Magufuli na Dk.Shein kuwa marais wetu.

Inashangaza sana hawa wabunge wa UKAWA ambao ni watunga wa Sheria ndiyo wamekuwa mstari wa Mbele kuvunja hizo Sheria ambazo zinasema Matokeo ya rais hayapingiwi nje ya Mahakama na ndani ya Mahakama.

Ibara ya 28 (2) (a)ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 inayozungumzia muda wa kuendelea na urais inasema ; " Kuongezwa kwa kipindi cha miaka mitano.

(2) Kufuatana na maelezo ya kijifungu (1) cha kifungu hiki, Rais ataacha madaraka yake baada ya kumalizika miaka mitano kuanzia tarehe, ambapo:

(a) kama yeye ni mtu ambaye ndiye mara ya kwanza amechaguliwa kuwaRaischiniyaKatibahiialipokula kiapo cha uaminifu na kiapo cha kuwa Rais; n.

Hivyo matakwa ya Ibara hiyo Kuwa kama uchaguzi Mkuu utafanyika na mshindi wa kiti cha Urais atatangazwa rasmi na Tume ya Uchaguzi, hivyo muda wake wa kuendelea Mtu kuwa Rais ungemalizika kwa kufuatana na masharti ya Kifungu hicho.

Sasa Zanzibar ,ZEC ilifuta Matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 , na Rais aliyekuwa akimaliza muda wake ni Dk.Shein lakini kwakuwa ZEC ilifuta Matokeo ya uchaguzi hivyo Ibara ya 28(2)(a) ya Katiba ya Zanzibar ina mpa muda wa kisheria Dk.Shein kuendelea kushika wadhifa huo.

Ili Rais wa Zanzibar apatikane kwa mujibu wa Katiba na sheria ya Uchaguzi nambari 11 ya Mwaka 1984, ZEC inapaswa kuendesha uchaguzi na hatimae kumtangaza mshindi wa nafasi ya Urais ambae atashika madaraka hayo pale ambapo atakuwa ameapishwa rasmi kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Katiba ya Zanzibar.

Kitendo cha UKAWA kufanya Fujo wakati rais Magufuli na Rais Shein anaingia kuzindua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kumuonea na pia kumethibitisha wabunge wa UKAWA hawajielewi.

Hivi Nyie wabunge wa UKAWA mnawazimu kichwani ?Mnaposema hamtambui Dk.Shein Kuwa ni Rais wa Zanzibar huyo Maalim Seif ananukuliwa akisema AMEOIOMBEA kufanya mazungumza na Rais Shein.

Sana Huyo Maalim Seif mnayemuita ni rais Tuonyesheni lini ZEC imemtangaza Maalim Seif ni rais wa Zanzibar ? Huo uhalali wa Nyie kumuita Maalim Seif ni rais mmepata wapi na kwa mujibu wa Katiba na Sheria hipi?

Ndiyo maana Minajiuliza kwamba hivi wabunge wa UKAWA uwenda ni wendawazimu.Kama Maalim Dk.Shein siyo rais wa Zanzibar basi Maalim Seif naye siyo Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar maana hadi sasa Maalim Seif ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar.

UKAWA mlijiapiza Kuwa Leo mtaakikisha Rais hatoweza kuhutubia kutoka na Fujo mtakazo fanyia, sasa kwanini mmeshindwa kusimamia msimamo wenu huo wa kihuni na kuingia woga nakuamua kuingia woga baada ya kumuona Spika wa Bunge Job Ndugai kuwageuzia kibao?

Mashujaa gani Waoga? Nijuavyo Mimi Jemedari uwa haogopi wala hatishiki kwa maneno?Sasa Nyie mlijifanya majemedali kuwa mtaakikisha Rais Magufuli autubii sasa mbona mmeshindwa kumzuia?

Kama mlijua nyie ni waoga wa mkono wa sheria hamtofanikiwa kumzuia Rais Magufuli asihutubie Bunge Leo kwanini mliingia bungeni na kufanya Fujo kidogo tu na mkashindwa kufanikiwa kudhibiti rais asihutubie?

Ombi langu kwa Uongozi mpya wa Bunge jipya ,kutokana na vitendo hivi Vya kihuni ambavyo vilishamiri na kukumbatiwa sana Enzi za Bunge la serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Leo Katika Hili Bunge jipya la serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk.Magufuli vione Haja sasa ya kutunga Kanuni Kali za kuwabana wabunge wanaofanya vitendo Vya kihuni ndani ya Bunge kama uhuni uliofanywa na wabunge wa UKAWA Leo .

Aiwezekani mbunge aliyechaguliwa na wananchi anafika bungeni anashindwa kujiheshimu ,kuwawakilisha wananchi wanaamua Kujitoa fahamu nakuanza kufanya matendo ya kihuni na ya kiuwenda wazimu halafu eti hamna Kanuni za kuwabana wabunge wahuni wa aina hiyo Spika anaishia Kusema tu ' eti wabunge wanaofanya Fujo toka nje'.

Hii haitoshi,kuna haja ya Kufungwa Kanuni ambazo zitasema mbunge atakayefanya Fujo bungeni afungiwe kuingia bungeni na akafunguliwe Kesi Katika Mahakama za kiraia.Upuuzi huu unaofanywa Mara kwa Mara na wabunge hasa wa Chadema, CUF unawadhalilisha viongozi wetu, Bunge letu na pia kuwashushia hadhi wabunge walioufanya uhuni huo.

Hotuba iliyotolewa Leo na Rais Magufuli Leo ambayo ili nzuri na imetoa mwelekeo wa serikali yake na kwa mujibu wa Spika Ndugai amesema hotuba hiyo ikajadiliwa Katika kikao kijacho.

Swali langu Je hawa wabunge wa UKAWA ambao wameshindwa kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli bungeni Leo, sasa Je ukifika wakati wa hotuba yake kujadiliwa bungeni Je nao wanachangia maoni Yao Kwenye hiyo hotuba ambayo Imebadili mambo mengi kuhusu wananchi wa taifa hili wakiwemo Wapiga kura wao?

Wabunge wa UKAWA mnatakiwa kukomaa kisiasa Kwani mlichaguliwa na wananchi ili mkawatumikie ndani ya Bunge lakini Leo mmejishushia hadhi kwa kufanya fujo ndani ya Bunge .

Mnaitaji Kuwa na mikakati ya maana si kwa faida yenu tu baki kwa faida ya wananchi na Ustawi wa taifa kwa ujumla.Jifunzeni kumpinga mtu kwa kufuata staha,Sheria na Kanuni.

Bunge ni Chombo Kilichoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 .

Aidha Ibara 64(1)ya Katiba hiyo inasema: " Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge".

Mtu mwenye stahaa ,anayejitambua Kuwa yeye ni kiongozi yaani mbunge ambaye ni myunga sheria, anayejiheshimu hawezi kuamua kufanya uhayawani kama uliofanywa leo na wabunge wa UKAWA ndani ya bunge letu tukufu.

UKAWA eleweni uchaguzi umekwisha aliyeshinda kashinda,aliyeshindwa kashindwa.Yaliyopita yamepita ,rejesheni mshikamano wenu wabunge wote bila kujali itikadi za vyama kwa lengo la kuletea taifa maendeleo.

Maana kama Mnasema hamtambui Rais Magufuli kwanini nyie wabunge wa UKAWA jana mlikubali kushiriki uchaguzi wa Waziri Mkuu ndani ya Bunge?Maana jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lililetwa Bungeni ili mlithibitishe na Rais Magufuli ambaye mmedai hamtambui.

WABUNGE wa UKAWA ebu acheni wazimu ,fanyenikazi kwa maslahi ya wananchi waliowatuma bungeni.Na Nyie wabunge wa CCM baadhi yenu acheni tabia ya kurusha vijembe kwa wabunge wa upinzani Kwani Bunge Hilo siyo la vyama ni Bunge la wananchi.

UKAWA ni wendawazimu maana mwendawazimu ufanya matendo tofauti na ya kushangaza mbele ya jamii ya watu wenye akili timamu.Na wabunge wa UKAWA leo wamefanya kitendo cha sawa na wendawazimu.Naomba kutoa hoja.

Mungu ibariki Tanzania

Na Happiness Katabazi
 
Ukawa sio tu wendawazimu, manyumbu wasiojua kuwa wametumwa na wananchi kuwawakilisha bungeni, kinyume na hapo basi wananchi wote tulitakiwa kuingia bungeni. Wananchi wote ni wabunge ila hatuwezi wote kuingia mjengoni ndo maana tumewatuma nyie mkatuwakilishe na sio kufanya ujinga mnaoufanya mnakera sana.

Uongozi wenu wa ukawa ndio shida kubwa kwasababu elimu yao ni duni, ninawiwa kusema mh. J.M. Kikwete alikosea sana kumteua mbatia kuwa mbunge viti maalum, maana alimuinua kisiasa na ndo kawa mwiba mchungu,mchochezi, na mchafuzi wa amani yetu.

Hawezi kuongea bila kutumia msamiati wa damu itamwagika, kama una hamu ya kumwaga damu anza na famila yako. kudadadeki.:angry::angry:
 
Msiingeiba Kura Zanzibar haya yasingetokea haihitaji kuwa na degree kujua kuwa wasioitakia mema nchi hii ni CCM kwa uroho wao wa madaraka na kuvuruga demokrasia kwa kila namna..Parliament Walkout ipo nchi zote ni kusimamia wanachokiamini.
 
Mimi nadhani mkojo uliosababisha mimba yako ulichanganyika na pombe ya mataptapu au mimba yako ilipatikana wakati wa sherehe za mbio za mwenge.

Mimba hizi ndio huzaa watoto aina yako ambao kwao heshima kwa watu wengine ni bidhaa adimu.

Utawaitaje watu wendawazimu watu ambao baadhi yao kiumri wanaweza kuwa sawa sawa na mama yako aliepata mimba yako katika sherehe za mwenge kupitia shahawa zilizochanganyika napombe za mataptapu.

Hizi mbio za mwenge kwakweli ni laana mana mara nyingi hupatikana watoto wasiokuwa na heshima na adabu dhidi yawatu wengine ambao jambo lolote litakalofanywa na wapinzani kwao ni tatizo!!!

Hivi hawa nguruwe pori wanataka kuwalazimisha watanzania wote tuwe na mawazo na maamuzi ya Aina moja!????!??

Wanadhani watanzania wote mimba zao zimepatikana katika sherehe za mbio za mwenge!!???
 
Huyu aliyeandika makala hii ndie mwendawazimu.
Kwa nini mwandishi wa makala ni mwendawazimu?

Ukimsikiliza Lubuva kwenye video utaelewa kwa nini Mwandishi ni mwendawazimu. Kwa haraka sikiliza kuanzia dakika ya 6:30 - 7:03

Taarifa za uhakika ni kuwa hakuna ripoti za kasoro zilizoripotiwa na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kwa majimbo yote huko Zanzibar. Nini kilipelekea CCM kupitia Jecha kuufuta Uchaguzi wa ZEC?

Ieleweke ZEC ilikuwa mawakala wa NEC huko Zanzibar.

Pia ieleweke vituo na wapiga kura ambao Lubuva anawazungumzia ni vile vile ambavyo NEC na ZEC wamevitumia kwa wakati mmoja. Vipi kura za NEC ziwe hazina dosari za ZEC ziwe na dosari?

CCM Zanzibar hawakupenda maamuzi ya wapiga kura.

Last edited by a moderator:
Huna lolote.
Hata wamerekani na waingereza wametoa tamko kukemea kupokwa kwa Demokrasia Zanzibar.
Wapinzani wameweka shinikizo ili dunia yote ifahamu udhalimu unaoendelea.
 
Alafj nasikia mara baada ya kutplewa bungeni wakaa nje pale ila wakiwa kwenye uzio kwa ndani ya bunge, askar wakawafuata wakaambia inabidi mutoke ata apa muwe nje kabisa, jamaa wakagoma.waksema wanakadi zao wanasubiri kula ubwabwa?!!! Nimesikia leo asbh star tv
 
Mimi nadhani mkojo uliosababisha mimba yako ulichanganyika na pombe ya mataptapu au mimba yako ilipatikana wakati wa sherehe za mbio za mwenge.

Mimba hizi ndio huzaa watoto aina yako ambao kwao heshima kwa watu wengine ni bidhaa adimu.

Utawaitaje watu wendawazimu watu ambao baadhi yao kiumri wanaweza kuwa sawa sawa na mama yako aliepata mimba yako katika sherehe za mwenge kupitia shahawa zilizochanganyika napombe za mataptapu.

Hizi mbio za mwenge kwakweli ni laana mana mara nyingi hupatikana watoto wasiokuwa na heshima na adabu dhidi yawatu wengine ambao jambo lolote litakalofanywa na wapinzani kwao ni tatizo!!!

Hivi hawa nguruwe pori wanataka kuwalazimisha watanzania wote tuwe na mawazo na maamuzi ya Aina moja!????!??

Wanadhani watanzania wote mimba zao zimepatikana katika sherehe za mbio za mwenge!!???

Huku nikujiaibisha ww mwenyew...nani unamwambia hadithi za wazazi wako kushinda kwenye mikesha ya mwenge na ndiko ulikopatikana na leo unatoboa siri ukimtuhumu mleta uzi kwa matusi ya namna hii
 
WABUNGE WA UKAWA NI WENDAWAZIMU?

NOVEMBA 16 Mwaka huu, Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia ( CHADEMA) Tundu Lissu alinukuliwa akisema leo UKAWA wataakikisha wanafanya vurugu kwa kusimama ndani ya bunge na kuakikisha Rais Dk.John Magufuli hatoweza kuhutubia Bunge kwasababu Rais Magufuli siyo Rais na wao hawamtambui.

Kweli Leo saa Kumi jioni tumeshuhudia wabunge wanaounda umoja wa UKAWA wakifanya Fujo ndani ya Bunge tangu alipoingia Rais Magufuli, Rais wa Zanzibar, Dk.Mohammed Shein, Makamu wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, Makamu wa Rais Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa , Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Jaji Mkuu wa Zanzinzibar .

Wabunge wa UKAWA wakiwa wamesima wakati wakifanya Fujo hizo ambazo zimewashushia heshima Mbele za watu wenye akili timamu ,wazalendo wa kweli walikiwa wakisikika wakisema " Maalim Seif ,Maalim Seif".

Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na ambaye alikuwa ni mgombea urais
Katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 Mwaka huu, ambapo Tume ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC) ,ilibaini dosari Katika kura zilizopigiwa Zanzibar hivyo ikatangaza Kuufuta uchaguzi ule hadi tarehe nyingine serikali ya Zanzibar itakapotoa taarifa .

Tangu ZEC ifute Matokeo ya kura za Zanzibar tumeshuhudia Maalim Seif ,aliyekuwa mgombea urais Tanzania, Edward Lowassa ,Tundu Lissu na wana UKAWA wengine Mara Kadhaa wamejitokeza hadharani wakipinga uamuzi huo wa ZEC na kusema Hawatashiriki uchaguzi wa marudio.

Tukiachana na historia hiyo Turejee Katika mada yetu ya Msingi.Kwanza napenda Kusema kilichofanywa na Wabunge wa UKAWA Leo ni uhuni, na pia ni Ishara Mbaya kwa Wapiga kura waliowapigia kura wa aina hiyo kura zao zimepotea bure Kwani wameteua watu ambao ni wahuni maana mhuni anafanya vitendo Vya Uvunjifu wa Sheria, mila na desturi na ndicho kilichofanywa na wabunge wa UKAWA Leo. Kitendo cha UKAWA kufanya Fujo wakati rais Magufuli anakuja kuzindua Bunge ni kumuonea na pia ni kutojielewa.

Maana Ibara ya 38(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema " Rais atachaguliwa na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na kwa mujibu wa sheria itakayoweka masharti kuhusu uchaguzi wa Rais ambayo itatungwa na Bunge kwa kufuata Masharti ya Katiba hii".

Sasa Magufuli ni rais aliye chaguliwa na wanachi waliowengi kwa mujibu wa Katiba .Sasa ni ajabu kikundi kidogo cha Wabunge wa UKAWA kinaibuka kinaanza kudharau maamuzi ya wananchi waliowengi waliomchagua Magufuli na Dk.Shein kuwa marais wetu.

Inashangaza sana hawa wabunge wa UKAWA ambao ni watunga wa Sheria ndiyo wamekuwa mstari wa Mbele kuvunja hizo Sheria ambazo zinasema Matokeo ya rais hayapingiwi nje ya Mahakama na ndani ya Mahakama.

Ibara ya 28 (2) (a)ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 inayozungumzia muda wa kuendelea na urais inasema ; " Kuongezwa kwa kipindi cha miaka mitano.

(2) Kufuatana na maelezo ya kijifungu (1) cha kifungu hiki, Rais ataacha madaraka yake baada ya kumalizika miaka mitano kuanzia tarehe, ambapo:

(a) kama yeye ni mtu ambaye ndiye mara ya kwanza amechaguliwa kuwaRaischiniyaKatibahiialipokula kiapo cha uaminifu na kiapo cha kuwa Rais; n.

Hivyo matakwa ya Ibara hiyo Kuwa kama uchaguzi Mkuu utafanyika na mshindi wa kiti cha Urais atatangazwa rasmi na Tume ya Uchaguzi, hivyo muda wake wa kuendelea Mtu kuwa Rais ungemalizika kwa kufuatana na masharti ya Kifungu hicho.

Sasa Zanzibar ,ZEC ilifuta Matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 , na Rais aliyekuwa akimaliza muda wake ni Dk.Shein lakini kwakuwa ZEC ilifuta Matokeo ya uchaguzi hivyo Ibara ya 28(2)(a) ya Katiba ya Zanzibar ina mpa muda wa kisheria Dk.Shein kuendelea kushika wadhifa huo.

Ili Rais wa Zanzibar apatikane kwa mujibu wa Katiba na sheria ya Uchaguzi nambari 11 ya Mwaka 1984, ZEC inapaswa kuendesha uchaguzi na hatimae kumtangaza mshindi wa nafasi ya Urais ambae atashika madaraka hayo pale ambapo atakuwa ameapishwa rasmi kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Katiba ya Zanzibar.

Kitendo cha UKAWA kufanya Fujo wakati rais Magufuli na Rais Shein anaingia kuzindua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kumuonea na pia kumethibitisha wabunge wa UKAWA hawajielewi.

Hivi Nyie wabunge wa UKAWA mnawazimu kichwani ?Mnaposema hamtambui Dk.Shein Kuwa ni Rais wa Zanzibar huyo Maalim Seif ananukuliwa akisema AMEOIOMBEA kufanya mazungumza na Rais Shein.

Sana Huyo Maalim Seif mnayemuita ni rais Tuonyesheni lini ZEC imemtangaza Maalim Seif ni rais wa Zanzibar ? Huo uhalali wa Nyie kumuita Maalim Seif ni rais mmepata wapi na kwa mujibu wa Katiba na Sheria hipi?

Ndiyo maana Minajiuliza kwamba hivi wabunge wa UKAWA uwenda ni wendawazimu.Kama Maalim Dk.Shein siyo rais wa Zanzibar basi Maalim Seif naye siyo Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar maana hadi sasa Maalim Seif ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar.

UKAWA mlijiapiza Kuwa Leo mtaakikisha Rais hatoweza kuhutubia kutoka na Fujo mtakazo fanyia, sasa kwanini mmeshindwa kusimamia msimamo wenu huo wa kihuni na kuingia woga nakuamua kuingia woga baada ya kumuona Spika wa Bunge Job Ndugai kuwageuzia kibao?

Mashujaa gani Waoga? Nijuavyo Mimi Jemedari uwa haogopi wala hatishiki kwa maneno?Sasa Nyie mlijifanya majemedali kuwa mtaakikisha Rais Magufuli autubii sasa mbona mmeshindwa kumzuia?

Kama mlijua nyie ni waoga wa mkono wa sheria hamtofanikiwa kumzuia Rais Magufuli asihutubie Bunge Leo kwanini mliingia bungeni na kufanya Fujo kidogo tu na mkashindwa kufanikiwa kudhibiti rais asihutubie?

Ombi langu kwa Uongozi mpya wa Bunge jipya ,kutokana na vitendo hivi Vya kihuni ambavyo vilishamiri na kukumbatiwa sana Enzi za Bunge la serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Leo Katika Hili Bunge jipya la serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk.Magufuli vione Haja sasa ya kutunga Kanuni Kali za kuwabana wabunge wanaofanya vitendo Vya kihuni ndani ya Bunge kama uhuni uliofanywa na wabunge wa UKAWA Leo .

Aiwezekani mbunge aliyechaguliwa na wananchi anafika bungeni anashindwa kujiheshimu ,kuwawakilisha wananchi wanaamua Kujitoa fahamu nakuanza kufanya matendo ya kihuni na ya kiuwenda wazimu halafu eti hamna Kanuni za kuwabana wabunge wahuni wa aina hiyo Spika anaishia Kusema tu ' eti wabunge wanaofanya Fujo toka nje'.

Hii haitoshi,kuna haja ya Kufungwa Kanuni ambazo zitasema mbunge atakayefanya Fujo bungeni afungiwe kuingia bungeni na akafunguliwe Kesi Katika Mahakama za kiraia.Upuuzi huu unaofanywa Mara kwa Mara na wabunge hasa wa Chadema, CUF unawadhalilisha viongozi wetu, Bunge letu na pia kuwashushia hadhi wabunge walioufanya uhuni huo.

Hotuba iliyotolewa Leo na Rais Magufuli Leo ambayo ili nzuri na imetoa mwelekeo wa serikali yake na kwa mujibu wa Spika Ndugai amesema hotuba hiyo ikajadiliwa Katika kikao kijacho.

Swali langu Je hawa wabunge wa UKAWA ambao wameshindwa kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli bungeni Leo, sasa Je ukifika wakati wa hotuba yake kujadiliwa bungeni Je nao wanachangia maoni Yao Kwenye hiyo hotuba ambayo Imebadili mambo mengi kuhusu wananchi wa taifa hili wakiwemo Wapiga kura wao?

Wabunge wa UKAWA mnatakiwa kukomaa kisiasa Kwani mlichaguliwa na wananchi ili mkawatumikie ndani ya Bunge lakini Leo mmejishushia hadhi kwa kufanya fujo ndani ya Bunge .

Mnaitaji Kuwa na mikakati ya maana si kwa faida yenu tu baki kwa faida ya wananchi na Ustawi wa taifa kwa ujumla.Jifunzeni kumpinga mtu kwa kufuata staha,Sheria na Kanuni.

Bunge ni Chombo Kilichoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 .

Aidha Ibara 64(1)ya Katiba hiyo inasema: " Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge".

Mtu mwenye stahaa ,anayejitambua Kuwa yeye ni kiongozi yaani mbunge ambaye ni myunga sheria, anayejiheshimu hawezi kuamua kufanya uhayawani kama uliofanywa leo na wabunge wa UKAWA ndani ya bunge letu tukufu.

UKAWA eleweni uchaguzi umekwisha aliyeshinda kashinda,aliyeshindwa kashindwa.Yaliyopita yamepita ,rejesheni mshikamano wenu wabunge wote bila kujali itikadi za vyama kwa lengo la kuletea taifa maendeleo.

Maana kama Mnasema hamtambui Rais Magufuli kwanini nyie wabunge wa UKAWA jana mlikubali kushiriki uchaguzi wa Waziri Mkuu ndani ya Bunge?Maana jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lililetwa Bungeni ili mlithibitishe na Rais Magufuli ambaye mmedai hamtambui.

WABUNGE wa UKAWA ebu acheni wazimu ,fanyenikazi kwa maslahi ya wananchi waliowatuma bungeni.Na Nyie wabunge wa CCM baadhi yenu acheni tabia ya kurusha vijembe kwa wabunge wa upinzani Kwani Bunge Hilo siyo la vyama ni Bunge la wananchi.

UKAWA ni wendawazimu maana mwendawazimu ufanya matendo tofauti na ya kushangaza mbele ya jamii ya watu wenye akili timamu.Na wabunge wa UKAWA leo wamefanya kitendo cha sawa na wendawazimu.Naomba kutoa hoja.

Mungu ibariki Tanzania

Na Happiness Katabazi

Wakati wa ukoloni watu waliokuwa wakipigana dhidi ukandamizaji wa haki za mtu mweusi na utawala wa kimabavu walinyanyasika, wakadhalilishwa na polisi wa kikoloni na waandishi wa kikoloni, wakaitwa majina kama haya tunayoyasikia leo wendawazimu, watoto, wahuni, wapumbavu na majina yoyote mabaya ambayo mkoloni angemwita mtu mweusi aliyejitokeza kudai haki.
Hivyo ninachokiona leo ni mwendelezo na tabia za tawala za kimabavu kote duniani. Walichokifanya wabunge wa UKAWA kimebeba hisia na watanzania wengi na jumuiya za kimataifa ambazo kila siku zinapiga kelele kutaka mshindi wa matokeo ya uraisi Zanzibar atangazwe. Ieleweke wazi kuwa mwenyekiti wa ZEC hakuwa na uhalali wa kisheria na kikatiba wa kufuta matokeo ambayo tayari yalikwishabandikwa kwenye vituo vya kupigia kura.
Pia, ifahamike kuwa njia ya muongo ni fupi daima, ukisoma phrase ya kwanza ya thread ambayo hubeba introduction ya kitakachojadiliwa,mwandishi anaeleza kwamba UKAWA walipanga kufanya vurugu kwasababu hawamtambui JPM kama raisi halali wa JMT halafu phrase zinazofuata amejadili uhalali wa Shein kuendelea kuwa raisi wa Zanzibar. Hivyo unaweza kuona huyu mtoa thread ni nani na ana uwezo gani.
Mwisho niwaambie wanajf wote kwamba hakuna utawala wa kimabavu uliwahi kupenda mtu kudai haki hivyo kama wewe unataka mshindi halali wa uraisi wa Zanzibar atangazwe usitegemee kupendwa na watawala kwani siku zote mkandamizaji wa haki hawezi kuwa na busara ya kumuheshimu mdai haki.
 
Mi niliwahi kupewa BAN kwa kusema wabunge wa ukawa ni nyumbu, sasa naona huyu kawaita ni wendawazimu na topic inaishi, na kila mtu kasema siyo waenda waimu tu bali pia ni nyumbu, tena si jf tu hata Prof Kitila alisema ni nyumbu. Ukweli utaendelea kubaki vile vile, chadema/ukawa ya sasa ni watu wasio tumia akili, wamejaa chuki na lengo lao ni kuona taifa linaingia kwenye machafuko, sasa cha kujiuliza hivi wao watakuwa wabunge au wawakilishi wa nani kama tutapigana vita?
 
Wabunge wa UKAWA na CUF wangekuwa wa maana kama wasingeapa na kuingia bungeni ili kushinikiza utatuzi wa suala la Zanzibar! Kukubali kwao kuapishwa na kuhudhuria Bungeni kunaonyesha dhahiri kuwa lengo lao kubwa ni pesa na siyo kumsaidia Maalim!
 
Wangefanya hivo.wasingepata nafasi ya kumzomea Rais mwivi asiekuwa halali Zanzibar.but ulimwengu wote umeona jinsi rais asiekuwa halali akizomewa kama mwari aliefumaniwa na bwana Wa MTU.
 
Ni wanafiki tu. Unafikiri ulimwengu ndiyo utashinikiza kusifanyike uchaguzi tena! Nafuu Magufuli aliwapa za uso kwa kuwaambia kuwa ni watoto!
 
Hawamtambui rais lakini walishiriki kupiga kura kwa ajiri ya kilicholetwa na rais wasiyemkubali, hiki ni kituko cha karne. Walimpinga rais lakini wakaomba wakafanye naye tafrija, kwani rais akiwa kwenye tafrija ndo haitwi rais? hiki nacho kinaleta kinyaa hatari. Hotuba ya rais kwanza ni lazima ijadiriwe bungeni, sasa sijui wanamaanisha hawatashiliki kuijadiri kwasababu hawamtambui rais, ama watashiliki kuijadiri hotuba wakati aliyeileta hawamtambui? haya yatakuwa maajabu ya dunia.
Tatizo la Ukawa naliona katika mambo yafuatayo
1. Wamegeuka wanaharakati.
2. Wanakosa watu makini wa kuwaongoza nje na ndani.
3. Utoto
4. Wameferi kutambua kwamba wao wanawakilisha majimbo yenye itikadi tofauti, wanahisi kana kwamba majimbo wanakotoka wananchi wote ni Ukawa na kwamba wanaridhia yanayofanywa na wabunge wao, wanajidanganya na matendo haya yatawaumiza zaidi wao kwasababu hata rais mwenyewe aliwaambia wananchi wapeleke watu ambao hawatakuwa na tabia za kususa na kutokatoka nje ..Ukawa wamekalia kuti kavu.
 
Huku nikujiaibisha ww mwenyew...nani unamwambia hadithi za wazazi wako kushinda kwenye mikesha ya mwenge na ndiko ulikopatikana na leo unatoboa siri ukimtuhumu mleta uzi kwa matusi ya namna hii

Utakuwa ni mmoja wapo wa matunda ya mbio za mwenge na mikojo ya Pombe chafu za mataptapu.

Siku zote muovu hutetea muovu mwenzake na ndege wa aina moja huruka pamoja.
 
Back
Top Bottom