Wabunge wa Uganda wafanya ziara bungeni Dodoma

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
1068129

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Mkuu wa Msafara wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani wa Bunge hilo Ssemujju Ibrahim Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

1068133

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

1068126

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

Attachments

  • 1554925166377.png
    1554925166377.png
    72.2 KB · Views: 8
View attachment 1068129
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Mkuu wa Msafara wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani wa Bunge hilo Ssemujju Ibrahim Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

View attachment 1068133

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

View attachment 1068126

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

Kama hawajalogwa sijui ! hivi kwenye bunge la Tanzania unajifunza nini ?
 
Ujirani mwema. Ni jambo jema kwa umoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hongera JPM na Museveni kwa ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom