Wabunge wa Uganda wafanya kilichowashinda Wabunge wa Tanzania - Wasitisha Mikataba ya Kifisadi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
[h=1]Uganda MPs block oil deals after corruption claims[/h]
_55982131_mus.jpg
The vote is a blow to President Yoweri Museveni
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

Uganda's parliament has voted to suspend all new deals in the oil sector following claims that government ministers took multi-million dollar bribes.
MP Gerald Karuhanga said in parliament on Monday that UK-based Tullow Oil paid bribes to influence decisions.
Tullow said it rejected the "outrageous and wholly defamatory" allegations.
The vote is a big blow to President Yoweri Museveni, who has been in power since 1986, analysts say.
The BBC's Joshua Mmali in the capital, Kampala, says it means the government will not be able to sign new oil deals until a petroleum law is enacted.
'Parliamentary privilege' During a heated parliamentary debate on Monday, Mr Karuhanga tabled documents alleging that Tullow Oil bribed Prime Minister Amama Mbabazi, Foreign Minister Sam Kutesa and former Energy Minister Hilary Onek.
Mr Onek, who was accused of receiving about 17m euros ($23m; £15m), strongly denied the allegation.
"I am thoroughly hurt by these lies because if such an account really exists I deserve all the punishment on Earth," Mr Onek told MPs.
Continue reading the main story [h=2]“Start Quote[/h]
Tullow would welcome the opportunity to appear at an appropriate forum... to refute these serious allegations ”
Tullow Oil statement
Mr Kutesa accused Mr Karuhanga of abusing parliamentary privilege by making false claims.
"Is he in order to make defamatory statements against me which are false and well-knowing that he cannot repeat them outside this chamber," Mr Kutesa asked.
Mr Karuhanga replied that he was prepared to repeat the allegations outside parliament.
Mr Mbabazi read a letter to MPs from Tullow Oil chief executive Aidan Heavey.
"These accusations are demonstrably false and appear to be founded on misunderstandings about how the global oil and gas industry works," the letter says.
"Tullow would welcome the opportunity to appear at an appropriate forum in parliament to refute these serious allegations and to explain, with other representatives from the industry, how the industry in which we are proud to work operates."
Our reporter says MPs demanded greater transparency in the oil sector and urged the government to disclose details of what they call secret deals with Tullow Oil.
The MPs also called on the government to delay the approval of Tullow Oil's sale of a large part of its stake in Uganda to France's Total and the China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) until a capital gains tax dispute, now before a Court of Arbitration in London, has been resolved, our reporter says.
The company operates three oil blocks in Uganda's oil-rich Lake Albertine Rift.
Correspondents say the parliamentary vote was carried with the backing of ruling party MPs, suggesting that Mr Museveni is losing his grip over them.
Mr Museveni won elections marred by allegations of fraud in February.
Uganda has been hit by a series of protests this year over the rising cost of living.
Mr Museveni warned that he will not tolerate an Egypt-style uprising against his rule.

Kutoka BBC:

NB: Kwa ambaye anaweza asijue tunazungumzia nini watu wa Tullow Oil ndio wale wale wanaohusiana na Meremeta na ndio ambao pia wamepwa mikataba ya mafuta katikati ya Tanganyika na Mkuranga huko.....
 
Hawa viongozi aina ya akina Mu7 dawa yao ni kuwang'oa kwa nguvu. Somehow now I can see something good is approaching our Tz, kama tutazungukwa na nchi zilizochukua hatua dhidi ya unyang'au unaofanywa na viongozi wetu, basi nasi watanzania tutazinduka muda si mrefu.
 
Mkuu kuhusu wabunge wa Tanzania especially wa CCM umenikumbusha siku mbunge mmoja jasiri mama machachari wa Zimbabwe, Margaret Dongo. Mama huyu akiwa kama independent MP wa Harare South alitamka hadharani tena kwa confidence, kwamba wabunge wa chama tawala ZANU PF are all behaving like they are "Mugabe's wives" Hii ilitokana na tabia kama waliyo nayo ndugu zatu kuunga mkono hoja kila jambo. Na mwiko waliojiwekea wa kutoichalenge institution ya uraisi.
 
Uganda, Kenya si kama Tanzania, lazima pawake moto wa ukweli, wale watu hawaogopi mtu, maana hiyo serikali yao itakuwa na kazi kubwa kweli katika kuuficha ukweli, la sivyo patakucha.
 
sasa sijui hii ni reflection ya elimu yao kuwa juu au kwamba wao wame mature saana kisiasa kuliko sisi na tot/komba yetu?
 
sasa sijui hii ni reflection ya elimu yao kuwa juu au kwamba wao wame mature saana kisiasa kuliko sisi na tot/komba yetu?

Kinachochangia sana hapa kwetu ni ile kauli yao ya zidumu fikra za.......... Na kutishana mara ooh amani ooh fujo ndio maana ma MPS wetu wanaunga mkono hoja %100.
 
wabunge walau wameanza kujiongelesha,sio kama enzi za che nkapa. japokua serikali yetu tunaiona. kama vinavyokataliwa vingesikilizwa, tusingejikuta na mzimu wa dowans! kama uongozi wa tanesco,tunaoamini ndo wataalamu na tumewaweka wasimamie umeme wanaona tatizo na bado tunaingia kichwa kichwa! hata wabunge wakipinga,kisirisiri itasainiwa tu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom