Wabunge wa Uganda kwa Bunge la Africa Mashariki hulalamikia spika wa kutoka Rwanda kwa kubadili matokeo ya uchanguzi wa clerk wa bunge la EA

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,279
2,000
Katika mitandoa ya kijamii ya Uganda na Rwanda inadaiwa kwamba spika wa bunge la Africa Mashariki wa kutoka Rwanda aliungana na wabunge wa Tanzania, wa Bunge la Africa Mashariki kumpokonya mgombea wa uganda unshindi wake wa kua clerk wa Bunge pale Arusha.

Baada ya matokeo ya usahili kuonyesha kwamba mgombea wa uganda kapata alama nyingi zaidi kumpita mgombea wa Tz, wa Bunge wa Uganda wali leta karatasi kuonyesha jinsi zile alama zilivo badilishwa kwa kuzipunguza ili kuezesha mgombea wa Tanzania apite wakati arama zake hazikutosha.

Walivyoleta hiyo issue ijadiliwe bungeni wabunge wote watznia walisusia kuingia mbugeni ili kutotoa nafasi ya kulasimisha huo mjadala na kumnyanganya mtanzani ushidi wa kua clerk wa bunge.

Je, kwa hali hiyo huo mgaano wa Africa mashariki una uhai? Rwanda na Uganda bado hawaelewani na tofauti zao zimefika hadi bugeni, Kenya ina economic arrogance haitaki ku heshimu Tanzania, na Uganda sudani kusini na Burundi hawana hoja yoyote wapo wapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom