Wabunge wa Tanzania Walitembelea Jengo la Ubalozi New York lililonunuliwa hivi Karibuni

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Hili ndio Jengo Serikali imelinunua, Ubalozi NY utahamia hapo. Ni Jengo la Ghoroafa 6; kwahiyo watapangisha Vyumba Vingine.




picha+no.3.JPG


Wabunge wanayoiwakilisha Tanzania kwenye Jumuia Ya Madola; Kutoka Kushoto Mh. John Shibuda, Mussa Hassan Zungu (Ilala) Ofisa wa Ubalozi Ms. Rose Mkapa na Lucy Owenya (Chadema Viti Maalumu)

Picha+no.1.JPG


Shibuda, Hassan Zungu, Balozi Sefue, Lucy Owenya na Ofisa Saidi Yakubu.

picha+no.4.JPG
 
Back
Top Bottom