Wabunge wa Tanzania na Burundi katika EALA wagoma kumtambua spika mpya

CV ya KIMBISA please
Ni mtaalam wa kususa! Wakati wa kura za mchujo za wagombea uraisi wa ccm yeye na kina Nchimbi waligoma wakatoka nje ya ukumbi! Na sasa huko bunge la Afrika mashariki inaonekana katia sumu yake kwa wabunge wa Tz ili wagomee bunge hilo!
 
Masikini watanzania wanashindwa hata kujenga hoja, wanashindwa hata kusema wanachosimamia. Sijui shida ni kizungu?
 
Ni mara nyingi sana chama tawala tz CCM kuwashutuma wapinzani (vyama pinzani) kutoka bungeni kususia hoja zao zisizo faa, ila katika Bunge la Afrika Mashariki nimeshuhudia Wabunge kutoka Tanzania wawakilishi kutoka CCm wakisusia na kuondoka bungeni ila cha kusikitisha kuondoka kwao hakukusaidia chochote hoja na maamuzi yalitolewa kama kawaida hapa nao walizidiwa kete. Kweli mwamba ngoma huvutia kwake. Wananchi wanaolalamikaga wapinzani kutoka bungeni je hamlioni hili???!!
 
Back
Top Bottom