Wabunge wa nchi hii wanaujua wajibu wao au tatizo Spika na CCM

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Tumefika mahali pabaya Sana,serikali inafanya mambo hovyohovyo bila kujali maumivu kwa wananchi wake Hulu wabunge wapo,najiuliza wanaujua wajibu wao?

Au wanashindwa kuikemea serikali kwa kwakuwa wameingia bungeni kiharamu haramu? Au spika hatoshi kwenge nafasi ile?

Maana Kama wabunge wanaujua wajibu wao wasjngekubali wananchi wanaotuwakilisha tukatwe kodi za maumivu kiasi hiki.

Kwanini wanashindwa kuipinga serikali,au wanajijua wameingia kimagumashi kwa wanatukomoa wananchi kwakua hatukuwachagua?

Au spika hatoshi?
Nchi nzima kilio cha kodi kwenye miamala,hiki kilio hakitapita bure Mungu anaona na kusikia pia. Yaani kidogo kwenye mafuta maana wenye magari ni wachache na siyo lazima mtu asafiri. Na Kama bidhaa Ku panda bei, MTU atanunua kulingana na uwezo wake,napo nako kunamaumivu.

ANGALIZO KWA SERIKALI NA WABUNGE. KAMA MSIPOREKEBISHA HILI,WATU TUTAUMIA LAKINI HAMTABAKI SALAMA. KAMA MMOJA WENU ALIZIMIKA KAMA MSHUMAA NANYI ITAWAPASA KUKINYWEA KIKOMBE ALICHOKINYWE.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom