Wabunge wa NCCR 1995

Hapana. Musoma Vijijini ndio alikuwa Balozi Paul Ndobho. Musoma Mjini alichukua yule Daktari aliyeumbuliwa na Mwalimu hadharani.
Musoma mjini alijaribu yule RPC wa zamani Kamanda Wandwi lakini miaka yote amekuwa akishindwa hadi mwaka jana!!
 
9. Dr Msina (Baba yake Vicky Msina) -Urambo Mashariki
10. Daniel Nsanzugwako -Kigoma (sina hakika ni kigoma ipi ama kasulu ipi kati ya majimbo yaliyopo)

NB: Makongoro Nyerere na Wasira walivuliwa na mahakama (LAMWAI ??????????) Mrema naye alikimbia chama akaenda TLP na kujivua ubunge wake
 
Interesting kumbe mkoa wa Tabora umewahi kutoa mbunge wa upinzani
 
Mkuu una hakika na huyu kweli. Alikuwa kweli ammemaliza pale UDSM manake nakumbuka jinsi Ma engineer walivyomchania tai miaka hiyo akiwa Presidaa wa DARUSO!

yah alikuwa mbunge tena ni kwa sasa yupo TLP
 
Makongoro Nyerere (Arusha), Masumbuko Lamwai (Ubungo), Steven Wassira aka Tyson (Bunda) wote hawakumaliza muda wao baada ya kuenguliwa na mahakama.
 
mbeya (m): Polisya sikumbula mwaiseje

iringa (m): Mfwalamagoha kibasa

siha: Makidara mosi

viti maalumu: Yule mama alikuwa na sauti nyembamba alikomalia sana mswada wa ''makosa ya ubakaji)........lucy msina

Edith Lucina aka Mama Munuo
 
Gerad Joseph Ngotolainyo-.....Moshi vijijini
Joseph Mtui ...........................Moshi Mjini
M. Kibaso ...............................Iringa Mjini
Jacob Msina............................Urambo Mashariki
Joseph Mabatia.......................Vunjo(ndio alipata kura nyingi kuliko wabunge wote wa 1995)
jina limenitoka-......................Arumeru East,(huyu alikuwa anapenda kuongea kingereza bungen)
 
Hivi Cha kulala Steven Wasira ndiye alikuwa upinzani au ni Yupi?? nakumbuka ila update zangu hazipo fresh..
 
Wee Meja Makundi alikuwa Mbunge!

Bado yule wa hai aliyekuwa mwalimu pale chuo cha ushirika. Nimemsahau jina.

Wakati huo NCCR ilikuwa inatisha! Akina mama Abwao ndani ya nyumba!

Mkuu Makundi hakuwa Mbunge 1995, labda mwaka 2000.
 
9. Dr Msina (Baba yake Vicky Msina) -Urambo Mashariki
10. Daniel Nsanzugwako -Kigoma (sina hakika ni kigoma ipi ama kasulu ipi kati ya majimbo yaliyopo)

NB: Makongoro Nyerere na Wasira walivuliwa na mahakama (LAMWAI ??????????) Mrema naye alikimbia chama akaenda TLP na kujivua ubunge wake

Ni lile jimbo mojawapo la kasulu ambalo kwa sasa yupo AGRIPINA BUYOGERA pia wa NCCR.
 
Tafadhali mwenye list ya wabunge wakuchaguliwa wa NCCR MAGEUZI 1995 watuwekee hapa ... UtaifaKwanza ameaanza upotoshaji kama kawaida yake ...
 
Wee Meja Makundi alikuwa Mbunge!

Bado yule wa hai aliyekuwa mwalimu pale chuo cha ushirika. Nimemsahau jina.

Wakati huo NCCR ilikuwa inatisha! Akina mama Abwao ndani ya nyumba!

major Makundi ni 2000 kwa tiketi ya TLP!Mbunge wa kwanza wa NCCR Vunjo alikuwa ni Mbatia aliye ongoza kwa kura nyingi kuliko wabunge wote 1995 kuja Bungeni
 
Mbatia hajawah kuwa mbunge hata cku moja! Vunjo-Jesse Makundi,Mwibara-Mtamwega Mgahywa,Muleba-Benedicto Mutungirehi,Mbeya mjini-Mwaiseje,Rolya-Marando,nk.

Nafikiri ulikuwa hujazaliwa wakati mbatia akiwa mbunge wa vunjo
 
Ile NCCR naweza kuifananisha na JAMBOFORUMS, ilikuwa imetimia ikiwa na watu wenye nia ya dhati ya kiukombozi....... hakuna kuleta fujo wala nini.....CCM ilishikwa pabaya........
Wakati huo pia MTIKILA akiitingisha CCM kwa upande wake........ (hakuwa NCCR)
 
Nimefurahi sana kukumbushwa NCCR ya ulweli,nakumbuka nilikutana na James 1993/94,pale Liberty Moshi.Wakati huo akiwa "maneger organisation campaign kitaifa"Alikuwa anamvuto na anamwaga nondo ajabu.Kweli alituamsha vijana wengi.
 
Back
Top Bottom