Wabunge wa NCCR 1995 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa NCCR 1995

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kinyungu, Jan 11, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Mwaka 1995 chama cha NCCR Mageuzi kilipata wabunge wengi kama 20 hivi kama sikosei na kufanikiwa kuwa chama kikuu cha Upinzani nchini. Japo chama hiki baadae kilikumbwa na migogoro mikubwa naombeni kujuzwa majina na majimbo walikotokea wabunge hao wa NCCR Mageuzi. Pia nitafurahi kusikia ni wabunge gani walimaliza ubunge wao kwa kipindi chote cha miaka 5 maana kama sikosei kuna wengine ubunge wao ulitenguliwa na mahakama.(Sina kumbukumbu vizuri maana nilikuwa primary school miaka hiyo).

  Wachache ninao wakumbuka ni:

  1. Masumbuko Lamwai-Mbunge wa Ubungo
  2. Mabere Marando-Rorya
  3.James Mbatia- Mbunge wa Vunjo
  4.
  5.
  .
  .
  .
  .
  .
  .20

  Naombeni tukumbusheni majina ya wabunge hao na majimbo walikotokea kwa faida ya wale wote wenye kupenda kujua historia ya siasa ya vyama vingi nchini.

  Nawakilisha
   
 2. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mwaiseje mby town
   
 3. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbatia hajawah kuwa mbunge hata cku moja! Vunjo-Jesse Makundi,Mwibara-Mtamwega Mgahywa,Muleba-Benedicto Mutungirehi,Mbeya mjini-Mwaiseje,Rolya-Marando,nk.
   
 4. M

  Masuke JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  4. Paul Ndobho-Musoma Vijijini
  5. Mutamwega Mugaywa- Mwibara
  6. Duka la Kaya-Muleba
  7. Stephen Wassira-Bunda.
  8. Makongoro Nyerere-Arusha
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Wewe naona unataja na wa TLP na wa CCM, James mbatia alikuwa mbunge kati ya 95 na 2000 huyo Makundi atakuwa baada ya Mbatia.
   
 6. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nani wa CCM hapo?
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Jina lake kamili ni nani mkuu? Je alimaliza miaka yote mitano?
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280

  Mkuu Mbatia amewahi kuwa mbunge wa Vunjo aisee cheki vizuri mkuu.
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Mkuu napenda kufahamu kama walimaliza miaka yao mitano au mahakama iliwa-nullify....

  Hivi Duka la Kaya nalo ni jina la mbunge au aka yake au ni jina la jimbo?
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Policia Mwaiseje. Lyatonga mwenyewe kule Temeke kwa Kihiyo.
   
 11. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikumbula Polisya Mwaiseje mpaka mwaka 2000
   
 12. M

  Masuke JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Duka la Kaya ni jina la kitabu alichotunga anaitwa Tegambwage, wengi walimaliza kipindi chao isipokuwa Wassira alenguliwa kwa kesi iliyofunguliwa na Warioba.
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Nina wasi wasi na Makundi kama alikuwa upinzani, ngoja nitacheki vizuri nitzrudi baadaye, Mtungireyi nadhani alikuwa TLP.
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mbeya (M): Polisya Sikumbula Mwaiseje

  Iringa (M): Mfwalamagoha Kibasa

  Siha: Makidara Mosi

  Viti Maalumu: Yule mama alikuwa na sauti nyembamba alikomalia sana mswada wa ''Makosa ya ubakaji)........Lucy Msina
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280

  Ok mkuu nashukuru. Nimekumbuka hicho kitabu
   
 16. M

  Masuke JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Musoma mjini pia alikuwa NCCR, simkumbuki jina.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu una hakika na huyu kweli. Alikuwa kweli ammemaliza pale UDSM manake nakumbuka jinsi Ma engineer walivyomchania tai miaka hiyo akiwa Presidaa wa DARUSO!
   
 18. W

  WildCard JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hapana. Musoma Vijijini ndio alikuwa Balozi Paul Ndobho. Musoma Mjini alichukua yule Daktari aliyeumbuliwa na Mwalimu hadharani.
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ok mkuu.
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wee Meja Makundi alikuwa Mbunge!

  Bado yule wa hai aliyekuwa mwalimu pale chuo cha ushirika. Nimemsahau jina.

  Wakati huo NCCR ilikuwa inatisha! Akina mama Abwao ndani ya nyumba!
   
Loading...