Wabunge wa mkoa wa rukwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa mkoa wa rukwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Autorun, Aug 20, 2009.

 1. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi jamani hawa wabunge wa mkoa wa Rukwa wamechangia nini katka maendeleo ya mkoa wao na je kuna umuhimu wa wao kuendelea kugombea ubunge na kuzeekea bungeni?
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,487
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mzindakaya amekuwa mbunge miaka nenda miaka rudi na hakuna cha maana alichofanya zaidi ya ufisadi. Ni wakati muafaka kuwaondoa madarakani watu kama hawa na kuwa na damu changa zenye uchu wa kuleta maendeleo mkoani Rukwa.

  Watu wa Kwera mpigeni chini mzindakaya 2010.
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,992
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Alipigwa chini mwaka 2005 usanii ukafanyika! Kwela ilikuwa tayari imenyakuliwa na NCCR Mageuzi.
   
Loading...