Wabunge wa magamba someni upepo acha unafiki kama tulio uona kwa Mwigulu na Komba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa magamba someni upepo acha unafiki kama tulio uona kwa Mwigulu na Komba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, Jun 19, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi sasa kila kitu kiko wazi na wananchi wanaona. Fanyeni kazi kwa manufaa ya wapiga kura wenu. Acheni kukumbatia maslahi ya chama kwanza ambacho kinakufa. Sijui Mungu amewatia upofu! yaani hamuoni kabisa.. Kama kweli mnasoma alama za nyakati na kuona upepo unako elekea ni wazi siku zenu zina hesabika. Sasa wa kuwanusuru ni wapiga kura wenu. Tunajua wabunge wengi walikuwa na msimamo wa kuikataa bajeti kabla hata haijasomwa, lakini baada ya kuwa wameitwa na kuonywa wakabadilika mawazo. Nakuambieni hiyo bajeti ina kuzikeni nyie ipitisheni tu! Kwani hata ukitishiwa kufukuzwa kwenye CCM lazima urudi bungeni kwa kupitia CCM hiyo hiyo? kwa sababu hii ndiyo hofu yenu wengi na ni dhahiri mko kwa maslahi binafsi zaidi.

  Kwa ndugu zangu wapiga kura wa Mwigulu na Komba nadhani jana mmejionea aina ya wabunge mlionao na nilazima mfanye maamuzi. Yaani mtu anayepinga msiongezewe pesa za maendeleo kama mpango wa maendeleo wa miaka 5 uliopitishwa na serikali ya magamba anawatakia mema? tena atarudi kuwaomba kura ili awaletee maendeleo?

  Rai yangu kwa wananchi wote wanaoitakia mema nchi hii bila kujali itikadi kwa nguvu zote ikataeni bajeti hii. Na pia toeni adhabu kali kwa mbunge yeyote atakaye iunga mkono.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Niliyo yasikia kwa Mwigulu Nchemba na komba midomo imebaki wazi mpaka sasa hivi
   
 3. d

  dada jane JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo ndo nimehakikisha first class za madesa zinaua nji hii.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  msomi alipaswa kutoa hoja kwa lugha yenye staha.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  hawa ndio magamba bwana..wanajua jinsi walivyopita majimboni kimizengwe mizengwe so sioni kama wanaweza kuibania serikali ao ya chama wakati yenyewe ndio imewaweka hapo
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Komba kakijua kingereza wapi jamani mpaka asikilize bunge la uganda na kenya?mwigulu mapovu yanamtoka kama kapatwa na brain concusion kisa tundu lisu na hasira za arumeru,basi kaonekana tahira kweli na degree za kudesa.
   
 7. I

  Iramba Junior Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wengine hatukapata bahati ya kuwaona hao wachangiaji, Kuna mwenye video/you tube airushe? Vipi kama CDM katika mpango wao wa kila wiki wakienda Iramba na Mbinga na kuwaambia wananchi wao juu ya wabunge wao wanachowafanyia mbungeni? Nadhani hii inaweza kuwapa adabu kidogo kama ilivyokuwa Korogwe na Tanga wakati ule wa hoja ya Mkonge!
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mh. Silinde aliwatahadharisha kwamba 2015 sio mbali. Waache waendelee na ujinga wao wakidhani tz ya leo ni ile ya '47! Tunachokifanya sasa ni kuwasikiliza kwa makini wabunge wanaobeza watetezi wa wananchi halafu tunawapeleka vijana wa m4c majimboni mwao! Lazima kieleweke!
   
 9. e

  eliceco Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mnaposema Mwigula ana first class, siwaelewi kabisa, maana haingii akili mtu mwenye elimu kiwango hicho akatukana matusi vile, lakini wote tunajua vyuo vyetu, mtu kama yule tuliosoma nje ya nchi tunamuona *****, wenzetu zambia ujenzi wa madarasa, ununuzi wa madawati,n.k ni kazi ya serikali. Bajeti inaendelea kumkamua mwananchi lakini wabunge wa magamba wanaunga hoja kwa asilimia 100, akina Komba degree wameprint kwenye Internet unategemea nini?
   
 10. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wote wawili ni wajinga hawajui lolote wanalofanya ndani ya bunge wasubili kiama kutoka kwa wananchi.
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  You may have point there !
   
 12. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sikubahatika kunaona mivuke ya hawa magamba havi hakuna yeyote wanabodi aliyerekodi aturushie walau jkwa u-tube please
   
 13. zululima

  zululima Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...