assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Ukisoma historia utaona vijana hawa mh zitto na mh kafulila kimsingi wanapenda kusimamia mambo bila kuwa na hofu wala woga bila kujali nini kitakachotekea either watu watafurahi au watachukia ilimradi hicho wanachikiamini kina maslahi ya taifa. Ni vyema tanzania tukawa na wabunge wenye misimamo kama wabunge hawa wa kigoma.