Wabunge wa kigoma zitto kabwe na david kafulila

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Ukisoma historia utaona vijana hawa mh zitto na mh kafulila kimsingi wanapenda kusimamia mambo bila kuwa na hofu wala woga bila kujali nini kitakachotekea either watu watafurahi au watachukia ilimradi hicho wanachikiamini kina maslahi ya taifa. Ni vyema tanzania tukawa na wabunge wenye misimamo kama wabunge hawa wa kigoma.
 
Teh teh teh!tribalism!
 
Mkuu unadhan hapa ni FB yan unapost tu hata kama utumbo?

Taifa lina mambo mengi ya kujadili mfano Rasimu ya katiba, Angukp la elimu, Gas ya mtwara, Muungano etc alafu we unatuletea mapumba yako hapa na kupeana sifa za kijinga kama walevi.
 
mkuu unadhan hapa ni fb yan unapost tu hata kama utumbo?

Taifa lina mambo mengi ya kujadili mfano rasimu ya katiba, angukp la elimu, gas ya mtwara, muungano etc alafu we unatuletea mapumba yako hapa na kupeana sifa za kijinga kama walevi.
hivi hujui jf,twiter na fb ni mitandao ya kijamii we mburula vp
 
ok tumekusikia tutaunda tume kuchunguza kama kweli huna jinsia mbili make ujielewi OVER!
 
Mkuu unadhan hapa ni FB yan unapost tu hata kama utumbo?

Taifa lina mambo mengi ya kujadili mfano Rasimu ya katiba, Angukp la elimu, Gas ya mtwara, Muungano etc alafu we unatuletea mapumba yako hapa na kupeana sifa za kijinga kama walevi.

Amekuelewa bila shaka.
 
hivi hujui jf,twiter na fb ni mitandao ya kijamii we mburula vp
Ndio ungepeleka Post hizo za kimburula
Hao si waHA nani asiyejua kuwa kigoma kunatoka kabila gani na ubishi kwao ni nyumbani kubishana hadi asubuhi
Hivi kwanza Kabouru yupa wapi? maana mnadhani kila mtu akisimamam na kubisha hata km ni waziri basi ni makofi na kweye magazeti hata jambo sio la maana , chukulia Wabunge wa Mkoa wa Kilimanjaro sio lazima wabishe ili maendeleao yaonekane,
Braza K, nyie gangamaleni Daraje lipite na barabara muende dar
 
ndio ungepeleka post hizo za kimburula
hao si waha nani asiyejua kuwa kigoma kunatoka kabila gani na ubishi kwao ni nyumbani kubishana hadi asubuhi
hivi kwanza kabouru yupa wapi? Maana mnadhani kila mtu akisimamam na kubisha hata km ni waziri basi ni makofi na kweye magazeti hata jambo sio la maana , chukulia wabunge wa mkoa wa kilimanjaro sio lazima wabishe ili maendeleao yaonekane,
braza k, nyie gangamaleni daraje lipite na barabara muende dar
acha ukabila ndugu
 
Ndio ungepeleka Post hizo za kimburula
Hao si waHA nani asiyejua kuwa kigoma kunatoka kabila gani na ubishi kwao ni nyumbani kubishana hadi asubuhi
Hivi kwanza Kabouru yupa wapi? maana mnadhani kila mtu akisimamam na kubisha hata km ni waziri basi ni makofi na kweye magazeti hata jambo sio la maana , chukulia Wabunge wa Mkoa wa Kilimanjaro sio lazima wabishe ili maendeleao yaonekane,
Braza K, nyie gangamaleni Daraje lipite na barabara muende dar

tz hii watu wamechanganyikana sana,kafulila siyo mha,ni mnyamwezi.Baba yake alikuwa mwalimu huko kasulu na wanaishi huko mpaka sasa
 
Mkuu unadhan hapa ni FB yan unapost tu hata kama utumbo?

Taifa lina mambo mengi ya kujadili mfano Rasimu ya katiba, Angukp la elimu, Gas ya mtwara, Muungano etc alafu we unatuletea mapumba yako hapa na kupeana sifa za kijinga kama walevi.

mbulula kama wewe mpe wengi sana. Umetumwa?
 
Single ya ukabila haina nafasi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndio ungepeleka Post hizo za kimburula
Hao si waHA nani asiyejua kuwa kigoma kunatoka kabila gani na ubishi kwao ni nyumbani kubishana hadi asubuhi
Hivi kwanza Kabouru yupa wapi? maana mnadhani kila mtu akisimamam na kubisha hata km ni waziri basi ni makofi na kweye magazeti hata jambo sio la maana , chukulia Wabunge wa Mkoa wa Kilimanjaro sio lazima wabishe ili maendeleao yaonekane,
Braza K, nyie gangamaleni Daraje lipite na barabara muende dar
nildhani unaupinga ukabila kumbe na ww ni walewale. bora ungekaa kimya
 
mh.mnyamwezi.mbona kama vile ni mbembe.wanaomjua vizuri watujuze.kafulila jina la kiha kabisa.siwezi kubisha lakini nahofia ukweli wake.
 
Back
Top Bottom