wabunge wa cuf....

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Messages
380
Likes
3
Points
0

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2008
380 3 0
naona watu wanalalamika sana hapa jamvini eti Chadema waungane na CUF, naomba nitajiwe wabunge watano wa cuf wanaotaka kuungana na chadema......
Kwangu mimi huu ni muda muafaka kabisa kwa chadema kuonyesha kwamba wanaweza unda serikali.
so let cahadema go alone....
 

Forum statistics

Threads 1,203,561
Members 456,824
Posts 28,118,735