Wabunge wa Chama Tawala Uganda Wakataa Shilingi Milioni 20 Waunge Mkono Mabadiliko ya Katiba

Uzalendo mbele...

Million 20 ya mara moja inaweza leta matatizo ya miaka na miaka, vizazi na vizazi...

Cc: mahondaw
 
Wangekuwa MACCM wahujumu uchumi wangechukua haraka sana bila hata kugeuka nyuma. Kumbuka October 25, 2016 pale lumumba kila mbunge wa MACCM alichukua rushwa ya milioni 10 bila woga wala aibu.
Hata wa CHADEMA sema nao wangechukua tu, kwani Wewe kwa akili yako umemwona Mbunge gani wa kukataa hela? Mbona wamejazana kila aina ya Kamati za Kudumu za Bunge lakini nao wamekuwa wakipiga sana hela za rushwa? Ama kwako wewe mtu akiingia CHADEMA ndio amebadilika tabia? Lini samaki aliyekauka akakunjika?
 
Wangekuwa MACCM wahujumu uchumi wangechukua haraka sana bila hata kugeuka nyuma. Kumbuka October 25, 2016 pale lumumba kila mbunge wa MACCM alichukua rushwa ya milioni 10 bila woga wala aibu.
Ingekuwa hapa kwetu wange unga mkono hoja pendekezwa bila hata malipo yoyote. Namwona mu7 anatamani awe kijana wa miaka 35 sasa hivi..
 
Uganda haina historia ya kuachiana madaraka peacefully. Ni coups mwanzo mwisho. Anachokitafuta Museveni atakipata. Hata waliokuwa na ndoto ya kuukwaa urais ndani ya Chama/Jeshi wanajua sasa ikipita hii, jamaa atakuwa Mugabe wa pili. 93 yrs old and still counting. Haikubaliki hii kitu.
 
Wapi nilipoandika kwamba fisadi wa CCM akiingia chadema ndiyo kabadilika? Lowassa na Sumaye ni mafisadi tu. Unadhani kungekuwa na ushahidi wa Wabunge wa Chadema kupokea rushwa wangekuwa bado wako uraiani?

Wanakamatwa kila kukicha kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu! fikiria kama kungekuwa na ushahidi wa kupokea rushwa. Sasa wameshindwa kuwafunga pamoja na kujaribu sana wamebaki kuanza kuwawinda kwa mtutu wa bunduki maana wanajua fika kwenye nguvu za hoja akili ndogo ya makinikia KAMWE haiwezi kushinda akili kubwa.

Hata wa CHADEMA sema nao wangechukua tu, kwani Wewe kwa akili yako umemwona Mbunge gani wa kukataa hela? Mbona wamejazana kila aina ya Kamati za Kudumu za Bunge lakini nao wamekuwa wakipiga sana hela za rushwa? Ama kwako wewe mtu akiingia CHADEMA ndio amebadilika tabia? Lini samaki aliyekauka akakunjika?
 
Hata wa CHADEMA sema nao wangechukua tu, kwani Wewe kwa akili yako umemwona Mbunge gani wa kukataa hela? Mbona wamejazana kila aina ya Kamati za Kudumu za Bunge lakini nao wamekuwa wakipiga sana hela za rushwa? Ama kwako wewe mtu akiingia CHADEMA ndio amebadilika tabia? Lini samaki aliyekauka akakunjika?
Mkuu,nawe umejitutumua ili uonekane nawe unatetea kijani?,kaz ipo
 
Tusubiri tuone Takukuru kama itashughilikia kikamilifu suala linalohusu wale madiwani wa Arumeru.
Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kama mtu unachukia Rushwa chukia kwa dhati na kwa moyo sio kwa maneno
 
Back
Top Bottom