Uchaguzi 2020 Wabunge wa CHADEMA waliokataa kununuliwa wana nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa tena na hii ni ishara ya anguko la wale waliouza utu wao

Yule aliekuwa wa iringa bwana mtumishi sina imani nae saaana naona kama mda si mrefu atachenji gia hewani.
 
Ndugu Chadema itapata wabunge wasiozidi wawili/ watatu tena kwa tabu sana. Mwenye uhakika wa jimbo ni Prof Jay sababu hana siasa za matusi, wengine labda wale ambao wanaunga mkono juhudi lakini hawajahama! NCCR na ACT ndio wataongoza jahazi la upinzani. Tunza hii comment!
 
Yeyeto yule aliyeumizwa na shetani katu hawezi uza utu wake kwa shetani yaani mtu akuchome Moto then ukamsujudie ni heri ukalime ili heshima na utu wako.
Waliounga wote awakuwahi umizwa
 
Ndugu Chadema itapata wabunge wasiozidi wawili/ watatu tena kwa tabu sana. Mwenye uhakika wa jimbo ni Prof Jay sababu hana siasa za matusi, wengine labda wale ambao wanaunga mkono juhudi lakini hawajahama! NCCR na ACT ndio wataongoza jahazi la upinzani. Tunza hii comment!
Ndoto hizo,
 
Nchi zetu hizi zinahitaji maombi. Unafikiri ni kwanini hawataki uwepo wa tume huru ya uchaguzi? Angalia jinsi vyombo vya ulinzi na usalama vilivyoaminishwa kuwa nchi hii ni ya chama kimoja. Ubabe mwingi kwenye kuikandamiza demokrasia, nk
Kuwaondoa CCM na Polisi wao wala hata hakuhitaji maombi, itakua ni matumizi mabaya ya Maombi! Hawa wakijifanya kudinda basi unatakiwa uwadindishie na uingize kabisa kipigo hadi kwa bata na kuku
 
Wanaishi kwa aibu sana hawa watu na sijui kama wako comfortable kujichanganya na raia katika majimbo yao.

Hao ni Mali ya mmiliki wa chama na sio Mali ya wanachama wamefata teuzi,ambazo ni uhakika wakikosa ubunge watapewa zingine Kama fadhila awawezi tupwa mkono.
"Ukinisujudia nitakupa miliki zoote za dunia fedha,vyeo na Mali vyoote ni vyangu nampa nimpendae anaeniabudu"Wafanye wawe masikini ili uwatawale wanaogopa kufa njaa ili wakuabudu uwape shibe.
 
Ndugu Chadema itapata wabunge wasiozidi wawili/ watatu tena kwa tabu sana. Mwenye uhakika wa jimbo ni Prof Jay sababu hana siasa za matusi, wengine labda wale ambao wanaunga mkono juhudi lakini hawajahama! NCCR na ACT ndio wataongoza jahazi la upinzani. Tunza hii comment!
Ni ujinga kutegemea kushinda kwa nguvu ya Dola.
 
Nchi zetu hizi zinahitaji maombi. Unafikiri ni kwanini hawataki uwepo wa tume huru ya uchaguzi? Angalia jinsi vyombo vya ulinzi na usalama vilivyoaminishwa kuwa nchi hii ni ya chama kimoja. Ubabe mwingi kwenye kuikandamiza demokrasia, nk
Ni wewe au leo wamekuibia id yako?
 
Ndugu Chadema itapata wabunge wasiozidi wawili/ watatu tena kwa tabu sana. Mwenye uhakika wa jimbo ni Prof Jay sababu hana siasa za matusi, wengine labda wale ambao wanaunga mkono juhudi lakini hawajahama! NCCR na ACT ndio wataongoza jahazi la upinzani. Tunza hii comment!
Hahahah dah akili ikihamia kwny Chombingo ni tabu sana.
 
Watu wameshaanza kuipuuza tume ya uchaguzi jambo ambalo ni baya, ubabe una mwisho tena mwisho mbaya. Nguvu ya umma ikiamua kuchukua nafasi yake tume haitafua dafu lazima aliyeshinda atatangazwa.
Tuelekeako siko...nahisi watu kuwa na hasira fulani hivi..
 
Back
Top Bottom