Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Mnapojadili lockdown mjadili na jinsi gani ya kuwawezesha wananchi. Niliwauliza siku moja wafuasi wa CHADEMA wanaopigia chapuo kauli ya Mbowe na Zitto ya kutaka lockdown kwamba wanategemea nini kwa wananchi wa maisha ya chini? Hakuna hata mmoja aliyenijibu jibu la kuridhisha zaidi ya wengi kuitaka lockdown kwa mihemko na hisia
 
Huu ndio mda mzuri wa kukaa lockdown sababu ya corona wala hawana majukumu tena bungeni.
 
Ni uamuzi wa busara, wameamua kujiongeza, sasa wale wakijani waendelee kutuwakilisha no retreat no surrender.

Rais kasema tuchape kazi yupo nao bega kwa bega.
Walijiongeza na sasa wameongezewa. Maisha yako kasi sana haya.
 
IMG_20201113_092833.jpg
 
Back
Top Bottom