Wabunge wa chadema utawajua tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa chadema utawajua tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vunjajungu, Jun 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Muda sio mrefu nimepita baa moja nikakuta wazee flani wanaangalia bunge,kuna mbunge kijana alikua anaichambua bajeti,nikauliza huyu ni mbunge gani mbona anaongea ukweli mtupu?(sikumtambua)mzee mmoja akajibu ni CCM huyo kijana.muda ulivyozidi kwenda nikaawaambia haiwezekani mbunge huyu awe ccm,kama tbc walijua wakaweka jina,i was right!alikua ni mh.Silinde mbunge wa mbozi chadema!yaani hadi unajisikia raha kumsikiliza.
  My take:wabunge wote wangekua hivi nchi ingekua mbali!
   
 2. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vp tundu lissu niliacha akitajwa na luku ikaisha.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Wanatia raha sana hawa wabunge wachadema.
   
 4. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha kuwa siku hizi hata kabila zinabadilishwa? Silinde naye Mchaga???? Acha ushabiki wa KINAFIKI na KIJINGA. Wakati nchi inafilisika kwa mawazo ya KIJINGA ya akina NCHEMBA na KOMBA, wewe unaleta ukabila hapa? SHAME ON YOU!!!!!
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Utawatambua wabunge wa CDM kwa Kuwa wasemaji pekee wa wananchi ktk bunge
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...