Wabunge wa CHADEMA mkae imara msijerubuniwa na Mabilioni

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Natoa wito CHADEMA ikae imara na mabilioni ya mafisadi.

Mafisadi wanaweza kuanza mpango wa kuivuruga chadema ili 2015 wasipate shida.
 
Natoa wito CHADEMA ikae imara na mabilioni ya mafisadi.

Mafisadi wanaweza kuanza mpango wa kuivuruga chadema ili 2015 wasipate shida.

hilo hata mimi nililiona long time, maana wabunge wa chadema wanaweza kutumika vibaya sana maana kama wameshindwa kununua majimbo sasa wanaweza kufanya hila tofauti zaidi ya hizo,nawaomba viongozi wa chadema wawemakini sana juu ya hili.
 
Back
Top Bottom