johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!