Wabunge wa CHADEMA ambao hawajakata rufaa wako hatarini, CHADEMA kusikiliza rufaa 6 tu

huo ni uongo yule aliyeshinda nkasi mbonahawajawahi kusema hawamtambui? yaani wanafichaficha tu

Yule wamemwacha amejifia mwenyewe. Nani anayemfahamu kwa Sasa Hana ushawishi wowote. Kuna watu hujishughulishi nao unawaacha tu wenyewe wanapotea. Yupo wapi nassari leo mtu aliyewapiga CCM hand down kwenye ubunge , lakini akaambulia kura 5 tu ndani ya CCM . Ni ujinga na kuwa na tamaa na unafiki leo anajifanya kubomoa ofisi za CHADEMA.
 
Tulia si alisema wale 19 wote ni halali? Leo anasubiri nini sasa kutoka CHADEMA?
Alisema anasubiri maamuzi ya Baraza Kuu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA

Sijui ni kwanini CHADEMA haijatetua wabunge “halali” na kuwapeleka Bungeni kureplace wale wengine na kumjoin yule Mbunge mwingine aliyepata baraka zote kutinga ndani?
 
Spika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho

Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama yale yale yaliyotolewa na kamati kuu.

Kikao cha Baraza kuu kitaongozwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu ambaye anategemewa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.

Kila la kheri Tundu Lissu na CHADEMA!
Chadema kweli ni Nyumbu kabisa yaan.
Mmekaa mnaropoka ooooh sio wanachama kumbe hawajasikiliza rufaaa???
Kweli tunageuzwa washamba sana
 
Ni halali ndiyo mpaka pale CHADEMA itakapomthibitishia kuwa siyo halali! Binti ni mwanasheria huyu huwa hatoi majibu yanayoweza kuja kumfunga baadaye
Asingesema kwamba anasubiri chochote toka CDM.. Kitendo cha kutamka kuwa kuna anachosubiri toka CHADEMA maana yake kuna jambo...

Vyama vingine si kuna wabunge wa kuteuliwa..!! Mbona HAJASEMA kama anasubiri kitu huko kwingine?
 
Naibu spika aliyebadilisha na kuwa spika ni mwanasheria mwenye ngazi ya PhD katika sheria na anayoyaeleza ndicho kiwango cha uelewa wake. Sasa sijui mtu kama mimi niliyeishia darasa la 4B uelewa wangu utakuwaje.

Nchi hii ina tatizo kubwa na kibaya zaidi tulijenga kasumba ya kuwaamini wasomi wakati 99% wamesoma ili wapate kazi na mshahara na sio kupractice walichokisoma
Mhaya wa wapi wewe, mushuti tu wee
 
wengi wamesoma ili watumike sio kutumia elimu yao kwa manufaa ya "inchi"
 
Tofautisha Mwenyekiti na baraza kuu. Baraza kuu ndio linaamua sio Mwenyekiti. Halafu kumtembelea mtu gerezani sio kosa hata CCM wanamtembelea Mwenyekiti gerezani. Tofautisha social cohesio na political decisions.

Hilo Baraza kuu wanajua nn waliofanya, wanajua majina ambayo walipeleka kwenye vikao vyao bahari beach, wanajua ugomvi ulianzia wapi

Ww unatumia nguvu kubwa jf but wenyewe wanajua nn kilitokea and why majina ya viongozi wengine mdee kama Mwenyekiti wa wanawake aliyakataa
 
s

asa wewe wa la 4b unaweza kubishana na phd? kwanza sheria hujui usifikiri yule spika ni kilaza anajuwa wapi pa kuchomokea na angekuwa nje ya sheria chadema wangekuwa wameshaenda mahakamani lakini wamekaa kimya ujue walikoroga wenyewe
Hili tatizo lilivyo kubwa usijekuta na wewe ni msomi
 
Asingesema kwamba anasubiri chochote toka CDM.. Kitendo cha kutamka kuwa kuna anachosubiri toka CHADEMA maana yake kuna jambo...

Vyama vingine si kuna wabunge wa kuteuliwa..!! Mbona HAJASEMA kama anasubiri kitu huko kwingine?
Jambo lipo kweli na inajulikana pasipo shaka kuwa jambo lipo, hata mimi naelewa hivyo. Kwa hiyo Mh. Spika anawasubiria CDM wamthibitishie pasipo shaka yoyote (beyond reasonable doubts) kwamba JAMBO hilo ni JAMBO kweli na si RUMOURS tu; mtu mzito kama huyo hawezi kufanyia kazi RUMOURS.
 
Hilo Baraza kuu wanajua nn waliofanya, wanajua majina ambayo walipeleka kwenye vikao vyao bahari beach, wanajua ugomvi ulianzia wapi

Ww unatumia nguvu kubwa jf but wenyewe wanajua nn kilitokea and why majina ya viongozi wengine mdee kama Mwenyekiti wa wanawake aliyakataa

Baraza kuu ndio linaenda kukaa kuamua Rufaa sio uteuzi. Uteuzi ukifanyika chama kinapeleka majina na chadema haijapeleka majina kwa kauli ya NEC. Muda utatuambia ukweli hao wasaliti waondolewe Mara moja.
 
Hapo kuna mambo mengi haujui, ww pambana kuandika Tu vitu ambavyo unasikia hewani

Na hii ndio shida ya wanachadema, mnaishi Kwa kuunganisha dotes bila kuwa na full information,

Ugomvi wao sasa nikwambie kila kiongozi alipeleka majina yake na hayo majina sio wanachama ambao wanajitoa Sana kwenye chama,

Kuna mmoja alipeleka Mtoto wake na mke wake wakawe viti maalum,

Mambo mengi hujui kaa kimya tu
 
Mkuu punguza hasira, umemwita mbowe gaidi, Mara udai CHADEMA inapokea ruzuku na Tena unadai CHADEMA inatumikia mabeberu. Wakati Rais wetu na Mwenyekiti wa CCM alikuwa huko anaomba mikopo kwa mabeberu na kusign mikataba ya kila aina.

Kati ya CCM na CHADEMA nani anamtumikia beberu. CHADEMA haipo kwenye vyombo vya maamuzi. Vyombo vyote vinashikiliwa na CCM, Sasa CHADEMA itatumika na mabeberu saa ngapi?.
Nchi inafunguliwa Mkuu,huenda wangechukua CHADOMO ndio ingeuzwa kabisa
 
Wewe rukaruka lakini marinda yako wahuni wameshapita nayo shoga mwandamizi
Shoga wenu mwandamizi si ndio yupo huko ubelgiji anaweka mipango ya nchi kuingizwa kwenye hyo CHADOMO Chokos republic, na nasikia wewe ndio pioneer wao kwenye hilo
 
Back
Top Bottom