Wabunge wa CHADEMA ambao hawajakata rufaa wako hatarini, CHADEMA kusikiliza rufaa 6 tu

Rufaa zao zikikataliwa watahamia mahakamani na watakuwa wabunge wa mahakama ...kumbuka issue ya Zitto Kabwe
 
Wakiwaacha hawa 19 wakaendelea, chances ni kwamba hata kwenye Bunge lijalo la 2025-2030 hawa watgombea na kupata ubunge. Wakiwafukuza, wajue 2025 hawa watakuwa CCM na watakuwa wabunge kupitia CCM.
CHADEMA kama wanajipenda, wasiwafukuze hawa wabunge, kwani kwa kufanya hivyo, watakuwa wana-jeopardize chance yao ya kupata wabunge wengi 2025. Wasifanye hasira ya mkisi. Mimi nashauri wawaache na Mh. Tundu Lissu naomba zimfikie taarifa hizi
Mama kasema Hataki UCHAFU kutoka UPINZANI kama wa MWENDAZAKE
 
CHADEMA haina mbunge yoyote hapo kwenye huo ukumbi wa mikutano ya CCM inayoongozwa na kigagula.
huo ni uongo yule aliyeshinda nkasi mbonahawajawahi kusema hawamtambui? yaani wanafichaficha tu
 
Rufaa zao zikikataliwa watahamia mahakamani na watakuwa wabunge wa mahakama ...kumbuka issue ya Zitto Kabwe
Kabwe hakuwa wa viti maalum.
Halafu ukikata rufaa una kuwa pembeni hadi maamuzi yatoke sio kuendelea na ulaji
 
Hao hawatakiwi hata kuwepo bungeni, Tulia sijui anawalinda hao wahujumu uchumi kwa sababu gani.

Mwenyekiti mwenyewe anaongea nao gerezani vizuri Tu wakienda kumtembelea
Hao hawatakiwi hata kuwepo bungeni, Tulia sijui anawalinda hao wahujumu uchumi kwa sababu gani.

Hawaoni umuhimu wa kukata rufaa kwenye Chama sababu kwanza wanajua walikuwa hawajafukuzwa bali yalikuwa ni mapendekezo ya kamati kwenda mkutano Mkuu ili maamuzi kamili yafikiwe, pili wanajua wakishafukuzwa rasmi wataenda mahakamani na wataendelea na ubunge wao.

Tatu, hata Mwenyekiti mbowe anaongea nao vizuri Tu wanapoenda kumtembelea gerezani

Sisi huku kwenye mitandao ndio kelele nyingi
 
Gaidi yule Mkuu we ngoja uone mwisho wake ndio utashangaa

Ok. Lakini utakuwaje gaidi ambapo hakuna ugaidi. Unaitwa mwizi wakati hujaiba na hakuna tukio la wizi kwenye eneo husika?. Tanzania hakuna matukio ya kigaidi mpaka Sasa , Hawa magaidi wanatokea wapi? Kesi imeegemea kwenye mensrea zaidi na sio kitendo actually reus.
 
tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala kesho

Kivipi wakati mkuu wa nchi kamwomba arudi na ameshafutiwa kesi zote mahakamani?. Halafu kuhusu kikao siyo lazima arudi wanaweza kufanya teleconference.
 
Wakiwaacha hawa 19 wakaendelea, chances ni kwamba hata kwenye Bunge lijalo la 2025-2030 hawa watgombea na kupata ubunge. Wakiwafukuza, wajue 2025 hawa watakuwa CCM na watakuwa wabunge kupitia CCM.
CHADEMA kama wanajipenda, wasiwafukuze hawa wabunge, kwani kwa kufanya hivyo, watakuwa wana-jeopardize chance yao ya kupata wabunge wengi 2025. Wasifanye hasira ya mkisi. Mimi nashauri wawaache na Mh. Tundu Lissu naomba zimfikie taarifa hizi

Haya ndio hatuyataki, mbona uchaguzi wa 2020 Covid 19 karibia wote ukimuondoa Conjesta Rwamlaza na yule aliyetolewa Rumande usiku, waligombea majimboni na hawakushinda akiwemo halima mdee. Wakawapora wanawake wengine nafasi za viti maalum wakaingia wao.

Kama kukosa majimbo mbona kwa Sasa CHADEMA Ina Jimbo moja tu Tena la mchongo. Hao Covid 19 hata huko CCM hawana nafasi ya kushinda Tena 2025 kwa Sasa chama kimerudi kwa wenyewe ndio usiseme. Yani halima mdee apitishwe na CCM kawe wengine waachwe. Kwanza kwa Sasa wote ushawishi wao umeisha hata mkutano HAWAWEZI fanya. Wajifunze kwa wale viti maalum waliohama CHADEMA kwenda NCCR wamepotea haijulikani walipo.

CHADEMA ya Sasa siyo ya kupapatikia watu, unazingua unaondoka au unafukuzwa. Waliondoka akina Zitto, Arfi, Slaa, etc sembuse akina halima mdee ambao kwa sasa hawana impact yeyote. Wengi pale walibebwa na brand ya chama. CHADEMA inajisimamia haiihitaji mtu kujiona bila yeye haiendi. Yupo wapi Dr Slaa, Leo amerudi anasubiri huruma ya mama Samia.

Pia fahamu chama kinao uwezo wa kufuta viti maalum wote na kuleta wengine Kama alivyofanya Lipumba kipindi kile. Maana chama ndio kinapendekeza sio mtu anajiamulia.
 
s

asa wewe wa la 4b unaweza kubishana na phd? kwanza sheria hujui usifikiri yule spika ni kilaza anajuwa wapi pa kuchomokea na angekuwa nje ya sheria chadema wangekuwa wameshaenda mahakamani lakini wamekaa kimya ujue walikoroga wenyewe

Dr Tulia alikuwa wazi Sana kwamba, kwa Sasa ni wabunge anacho subiria ni mchakato wa ndani wa chama. Ndio maana CHADEMA wanataka kumaliza mchakato wore maana wamekata Rufaa, mpaka Rufaa isikilizwe. Lakini Ndugai yeye alidai atawalinda hata Kama baraza kuu litawavua uanachama. Yeye hayupo ameondewa kabisa.
 
Nadhani Mbowe na Mnyika wana maslahi fulani kwa wale covid 19!

Sometimes Mwenyekiti anafanya maamuzi ya kuumiza chama. Siku ile wanaapishwa Halima Mdee alimshukuru Mwenyekiti kwa kuwaruhusu waende bungeni. Sasa sijui ilikiwaje tutjua mbeleni.
 
Kachukue ruzuku kubwajinga la CHADOMO, Chama kisichojielewa kinachotumika na mabeberu

Mkuu punguza hasira, umemwita mbowe gaidi, Mara udai CHADEMA inapokea ruzuku na Tena unadai CHADEMA inatumikia mabeberu. Wakati Rais wetu na Mwenyekiti wa CCM alikuwa huko anaomba mikopo kwa mabeberu na kusign mikataba ya kila aina.

Kati ya CCM na CHADEMA nani anamtumikia beberu. CHADEMA haipo kwenye vyombo vya maamuzi. Vyombo vyote vinashikiliwa na CCM, Sasa CHADEMA itatumika na mabeberu saa ngapi?.
 
Mwenyekiti mwenyewe anaongea nao gerezani vizuri Tu wakienda kumtembelea




Tatu, hata Mwenyekiti mbowe anaongea nao vizuri Tu wanapoenda kumtembelea gerezani

Sisi huku kwenye mitandao ndio kelele nyingi

Tofautisha Mwenyekiti na baraza kuu. Baraza kuu ndio linaamua sio Mwenyekiti. Halafu kumtembelea mtu gerezani sio kosa hata CCM wanamtembelea Mwenyekiti gerezani. Tofautisha social cohesio na political decisions.
 
Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.
12m ndo za kumtisha Lissu? Yaani we kichwa chako kimejaa uji wa magimbi
 
Back
Top Bottom