Wabunge wa ccm watapoteza viti kwa 70% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm watapoteza viti kwa 70%

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Sep 5, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 427
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa uchunguzi wa kina inaonekana wananchi hawana hamu na wagombea ubunge wa ccm,kwani wengi wao wanonekana kujali maslai yao,kitu ambacho wananchi hawana huwakika nacho ni mgombea uraisi,kikweke kapoteza dira na ile sera ya ccm ya maisha bora kwa kila mtanzania.sera za ccm za sasa hivi ni kama matangazo ya internet jaribu kuchunguza alafu ujipe jibu.ccm hawajui uchungu wa kutawaliwa embu mwaka huu tuwaonyeshe labda itakuwa chachu ya maendeleo....kama ww umezoea kutoa amri siku ukipewa ww utajisikiaje? Hata na katiba yetu tunaweza badilisha.....kwani katiba yetu inakupa haki kwa mkono huu na inakunyanganya kwa mkono mwingine.....mabadiliko kwa maendeleo.
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Wenyewe wameshakiri, sasa wanajiandaa kwa hujuma, lakini Watanganyika si Wadanganyika tena!
   
 3. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kumepambazuka tanzania
   
Loading...