Wabunge wa ccm wangekua hivi kila siku.

nyamakonge

JF-Expert Member
May 28, 2013
363
130
Wakuu wabunge wa chama cha mizigo leo wanaongea point sana.wakiongozwa na zambi.hiv kumbe uwa wanajtambua sema wanapotezea tu.make leo wameungana na upnzan kutetea wananch.MAWAZIRI MIZIGO MKUCHICHA.CHIKAWE,NAODHA.NCHMBI NA KAGASHEKI LEO MNALO.
 
Ni maneno tu hayo, huwa wanatoa povu hafu yanaishia hapo hapo tu! Mara ngapi wamekuja na maazimio ambayo have always been toothless?
 
mapovu tu hayo ..wataitwa baadaye kukemewa watafyata mkia wote hao
 
Tulisikia walikuwa na kikao cha siri, kumbe ni kikao cha maonyo makali. Ngoja watoke huko utashangaa wote ni ndiyooooo. Nani hakumbuki yule mama wa kipare akivyo foka; Bungeni hapata tosha. Duh! Mwisho wa siku; Ndiyooooo. Mpaka leo; Mh. Anne K. M. kimyaaa. Sijui hata kama yupo tena bungeni. Mwisho wa Maccm ni aibu tupu
 
...na wanatoa povu huku mkulu wa kaya yupo kwa Obama akila bata! Hapa Pinda akijpindua akabaki kuwa wazir mkuu, bhaaa...si...!
 
unataka wawe hivyo hata kwa hoja ambazo haziko hivyo itawezekana vipi lazima wabadilike kulingana na hoja zilizopo mezani.
 
Tulisikia walikuwa na kikao cha siri, kumbe ni kikao cha maonyo makali. Ngoja watoke huko utashangaa wote ni ndiyooooo. Nani hakumbuki yule mama wa kipare akivyo foka; Bungeni hapata tosha. Duh! Mwisho wa siku; Ndiyooooo. Mpaka leo; Mh. Anne K. M. kimyaaa. Sijui hata kama yupo tena bungeni. Mwisho wa Maccm ni aibu tupu

huu mwingine utoto na wivu wa kufikiri mbona mama anne leo kaongea vizuri au ulikuwa huangalii bunge.
 
Uchaguzi ukikaribia wanakuwa kama wehu maana hawana uhakika wa kurudi mjengoni
 
Back
Top Bottom