Wabunge wa CCM wanakwenda bungeni kufanya nini? Mbona wajenga hoja ni wapinzani pekee? Ni kweli kwamba wanadhibitiwa na viongozi wao?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,177
217,129
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%

Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi wao kwamba wasichangie hoja za msingi au ndivyo walivyo tu ? hii ni aibu kubwa sana !

hebu msikilize mbunge wa Chadema Mh Msigwa akijenga hoja kisomi na kizalendo , hapa lipo la kujifunza utake usitake .
 
Attachments

  • Leo jioni ( 421 X 750 ).mp4
    809.2 KB
Hawawezi mkuu, wanapangiwa cha kuongea, ukiongea hoja zenye kupigania wapiga kura wako, wanakuita unanongwa, Nakumbuka kuna siku mh, sugu mbunge wa mbeya aliwahi kusema, wanapokaaga vikao vya wabunge kutoka mbeya, wabunge wa CCM huwa wanawaambia wabunge wa chadema ndo wawe wanatoa hoja nzito zinazohusu majimbo yao kisa , just imagine mbunge wa mboziCCM anashindwa kuwapigania wananchi wake anampelekea kimemo mbunge wa mbeya mjini CHADEMA. Ni shida sana hawa CCM.
 
Mimi Naogopa tu COrona ikifika Bungeni na jinsi walivyokuwaa watu wazima na cisukari vya kutisha na BP sijui kama atapona hata mmoja, sema wale ambao wanatumia ARVs itakua nafuu kwao!

Hivi ikiingia Bungeni Leo wa kwanza kuvuta Atakua nani? Mungu epushia mbali.
 
Aiseee !!
 
Ianze na maccm nitafurahi saaaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mpinzani sio kupinga kila kitu. Sekta ya utalii inategemea uwepo wa watalii ambao wanatoka sehemu mbalimbali duniani,katika kipindi hiki Cha Corona mipaka ya nchi imefungwa. Je, huo utalii utafanyikaje?

Katika hili CHADEMA watumie akili za ziada ambazo hazitaacha shaka watu kuhoji uwezo wao wa kiuongozi na si kusema tu ilimradi kusema. Tangu mwanzo Rais Magufuli alikuwa na nia njema ya kuifanya Tanzania yenye uchumi wa viwanda ambayo Msigwa na wenzake walikuwa wanabeza.

Kama wangeshirikiana kujenga viwanda vingi leo hii uzalishaji ungefanyika nchini na hivyo katika majanga Kama haya tungeona unafuu ila leo anasema Mara sekta ya utalii imefanya Nini, si atoe mapendezo Nini kifanyike katika kipinda hiki?

Hayo mawazo mbadala ya CHADEMA yako wapi? Je, CHADEMA wa kupinga na kubeza wanahitajika bungeni?
 
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%

Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi wao kwamba wasichangie hoja za msingi au ndivyo walivyo tu ? hii ni aibu kubwa sana !

hebu msikilize mbunge wa Chadema Mh Msigwa akijenga hoja kisomi na kizalendo , hapa lipo la kujifunza utake usitake .
Huenda kusifu na kuabudu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kujenga hoja kutetea upotevu wa trilion 1.5, kuchelewa kuzuia ndege toka nje zisitue nchini petu ili kujikinga na Corona, bajeti ya miundombinu kuwa kubwa zaidi ya mara mbili ya bajeti za Afya, na Kilimo, upotevu wa watu/kutekwa na wasiojulikana, na mengine kama hayo.

Utaanzia wapi kujenga hoja kuyatetea?!

Ndio maana wanaona bora kupiga vigelegele tu, na mipasho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazingua sana ndugu.Msigwa mbunge halali wa Iringa mjini alitoa hoja mapema sana kabla ya bunge hili kujadili kwa udharura suala la Corona lakini ndugai alipinga na akatupia kapuni.
Hakuna mbunge wa Chadema aluyewahi kupinga viwanda lakin hoja ilikuwa ni kwamba viwanda havioti kama uyoga.Viwanda vina factor nyingi sana zinazizutegemea ikiwemo kodi.Lakini Magu jambo la kwanza aliongeza kodi bandarini.Ndio maana hakuna heavy industry yoyote mpaka sasa tangia kiwanda cha Dangote enzi za JK.
Kubali ukatae ila ni kwamba ccm ndio huwa wa kwanza kukataa hoja za kizalendo kisa tu zimetolewa na wapinzani.
Ukiwa mpinzani sio kupinga kila kitu. Sekta ya utalii inategemea uwepo wa watalii ambao wanatoka sehemu mbalimbali duniani,katika kipindi hiki Cha Corona mipaka ya nchi imefungwa. Je, huo utalii utafanyikaje?

Katika hili CHADEMA watumie akili za ziada ambazo hazitaacha shaka watu kuhoji uwezo wao wa kiuongozi na si kusema tu ilimradi kusema. Tangu mwanzo Rais Magufuli alikuwa na nia njema ya kuifanya Tanzania yenye uchumi wa viwanda ambayo Msigwa na wenzake walikuwa wanabeza.

Kama wangeshirikiana kujenga viwanda vingi leo hii uzalishaji ungefanyika nchini na hivyo katika majanga Kama haya tungeona unafuu ila leo anasema Mara sekta ya utalii imefanya Nini, si atoe mapendezo Nini kifanyike katika kipinda hiki?

Hayo mawazo mbadala ya CHADEMA yako wapi? Je, CHADEMA wa kupinga na kubeza wanahitajika bungeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mpinzani sio kupinga kila kitu. Sekta ya utalii inategemea uwepo wa watalii ambao wanatoka sehemu mbalimbali duniani,katika kipindi hiki Cha Corona mipaka ya nchi imefungwa. Je, huo utalii utafanyikaje?

Katika hili CHADEMA watumie akili za ziada ambazo hazitaacha shaka watu kuhoji uwezo wao wa kiuongozi na si kusema tu ilimradi kusema. Tangu mwanzo Rais Magufuli alikuwa na nia njema ya kuifanya Tanzania yenye uchumi wa viwanda ambayo Msigwa na wenzake walikuwa wanabeza.

Kama wangeshirikiana kujenga viwanda vingi leo hii uzalishaji ungefanyika nchini na hivyo katika majanga Kama haya tungeona unafuu ila leo anasema Mara sekta ya utalii imefanya Nini, si atoe mapendezo Nini kifanyike katika kipinda hiki?

Hayo mawazo mbadala ya CHADEMA yako wapi? Je, CHADEMA wa kupinga na kubeza wanahitajika bungeni?
Huu ndiyo ugoro wenyewe, unajiona umejenga hoja saana.

Ningekuwa kiongozi wa ccm ningekutimua siku nyingi sana .
 
Unazingua sana ndugu.Msigwa mbunge halali wa Iringa mjini alitoa hoja mapema sana kabla ya bunge hili kujadili kwa udharura suala la Corona lakini ndugai alipinga na akatupia kapuni.
Hakuna mbunge wa Chadema aluyewahi kupinga viwanda lakin hoja ilikuwa ni kwamba viwanda havioti kama uyoga.Viwanda vina factor nyingi sana zinazizutegemea ikiwemo kodi.Lakini Magu jambo la kwanza aliongeza kodi bandarini.Ndio maana hakuna heavy industry yoyote mpaka sasa tangia kiwanda cha Dangote enzi za JK.
Kubali ukatae ila ni kwamba ccm ndio huwa wa kwanza kukataa hoja za kizalendo kisa tu zimetolewa na wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemkomesha mno !
 
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%

Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi wao kwamba wasichangie hoja za msingi au ndivyo walivyo tu ? hii ni aibu kubwa sana !

hebu msikilize mbunge wa Chadema Mh Msigwa akijenga hoja kisomi na kizalendo , hapa lipo la kujifunza utake usitake .
Wabunge wa ccm wanakula hela za wananchi bure tu
 
Back
Top Bottom