Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,609
- 218,033
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%
Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi wao kwamba wasichangie hoja za msingi au ndivyo walivyo tu ? hii ni aibu kubwa sana !
hebu msikilize mbunge wa Chadema Mh Msigwa akijenga hoja kisomi na kizalendo , hapa lipo la kujifunza utake usitake .