Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Mkuu, umemsilikiza Msigwa kwenye hiyo clip au umeamua kuandika tu?Ukiwa mpinzani sio kupinga kila kitu. Sekta ya utalii inategemea uwepo wa watalii ambao wanatoka sehemu mbalimbali duniani,katika kipindi hiki Cha Corona mipaka ya nchi imefungwa. Je, huo utalii utafanyikaje?
Katika hili CHADEMA watumie akili za ziada ambazo hazitaacha shaka watu kuhoji uwezo wao wa kiuongozi na si kusema tu ilimradi kusema. Tangu mwanzo Rais Magufuli alikuwa na nia njema ya kuifanya Tanzania yenye uchumi wa viwanda ambayo Msigwa na wenzake walikuwa wanabeza.
Kama wangeshirikiana kujenga viwanda vingi leo hii uzalishaji ungefanyika nchini na hivyo katika majanga Kama haya tungeona unafuu ila leo anasema Mara sekta ya utalii imefanya Nini, si atoe mapendezo Nini kifanyike katika kipinda hiki?
Hayo mawazo mbadala ya CHADEMA yako wapi? Je, CHADEMA wa kupinga na kubeza wanahitajika bungeni?