Tulia Pia Amejaa upepo mtupu,hawa madaktari wa Afrika ni upuuzi mtupu,no wonder wametuongezea umaskini kwa zaidi ya miaka 53 ya uhuruJamaa sijui ana Kisukari.Ana Hasira sana.Njia nyeupe kwa Dr.Tulia.
Tulia Pia Amejaa upepo mtupu,hawa madaktari wa Afrika ni upuuzi mtupu,no wonder wametuongezea umaskini kwa zaidi ya miaka 53 ya uhuruJamaa sijui ana Kisukari.Ana Hasira sana.Njia nyeupe kwa Dr.Tulia.
Ww angalia chanzo, haki haiombwi. Usawa ufanyike tu hayo hayatatokea, spika ameonesha mapungufu makubwa kwa hili. Pengine ni maelekezo , na hili hata kama ww ni ccm unaejimbua na sio taayira utaona upuuzi uliofanyika.Muda mwingine tuwe wakweli na kuweka vyama pembeni hivi kwanini kila siku bulaya mdee au yale matusi tunayosikia huwa wana edit
Acheni kujitoa akili wale wawakilishi wenu hawana adabu na hata maandiko yametataa itawa cost bungeni na kwa mungu pia atawaadhibu. Nukta
Kwa kweli inashangaza sana kwa mtu mwenye hadhi kubwa kama yake ya kuuongoza mhimili wa Bunge kuwa na upendeleo wa wazi wazi kwa wabunge wenzie wa CCM ambapo ni kinyume kabisa ya kanuni za uendeshaji wa mfumo la Bunge la vyama Vingi.Huyo ndungai ni muathirika wa ma drugs aliyopata huko india
Hukuwepo nchini kipindi hicho alichompiga fimbo mccm mwenzenu? Au hukusikia kwa kuwa ulikuwa umepewa kazi kushilia madunguri au kugawa khanga kofia t-shirt na chumvi?Tafadhari wekeni hiyo clip na picha kuonyesha unyama wa Ndugai!!
Ni dhahiri pengine huyo jamaa hakuwepo nchini kipindi kile cha kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Hukuwepo nchini kipindi hicho alichompiga fimbo mccm mwenzenu? Au hukusikia kwa kuwa ulikuwa umepewa kazi kushilia madunguri au kugawa khanga kofia t-shirt na chumvi?
It is true....Ww angalia chanzo, haki haiombwi. Usawa ufanyike tu hayo hayatatokea, spika ameonesha mapungufu makubwa kwa hili. Pengine ni maelekezo , na hili hata kama ww ni ccm unaejimbua na sio taayira utaona upuuzi uliofanyika.
Sasa ndiyo tuwafungue macho waTZ wajue kwamba hao wanaojiita kuwa ndiyo walioafiki mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini, ni kwa nini hivi sasa wanafanya kila aina ya mkakati ili nchi yetu irejee kwenye mfumo wa chama kimoja?MKUU WALIGEUZE MARA NGAPI???