Wabunge wa CCM wamekata tamaa kuitetea Serikali juu ya kushikiliwa Bombardier Canada

Hahahaaa! Umenchekesha sana..Yaani umemnukuu Milard Ayo na yeye kakuumbua kuwa amechukua kwenye gazeti la Mbowe.
Hahahaaa! Umenchekesha sana..Yaani umemnukuu Milard Ayo na yeye kakuumbua kuwa amechukua kwenye gazeti la Mbowe.
mbona hata gazeti la Uhuru wameandika kwani hizo Bombadier mmeshalipa pesa za watu?
 
majinga kweli kwenye matatizo yakishatokea wanaiachia chadema ipambane
 
Wakati Bunge likianza leo imeelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamekata tamaa kuitetea Serikali juu ya kushikiliwa Bombardier Canada. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 Dash 8 iliyonunuliwa na Serikali inashikiliwa nchini Canada kwa sababu serikali kushindwa kulipa deni ambalo wanadaiwa
kwani kesi ya bombardier ilifunguliwa bungeni?
je wanatetea serikali dhidi ya nani ?

kwani kikao kile cha bunge agenda ni kuijadili bombadier?

chadema njooni na hoja zenye mashiko na sio hizi ambazo mwisho wa siku nazina tija yoyote kwa mtanzania wa kweli zaidi ya wasaka madaraka

shame on all of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Bunge likianza leo imeelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamekata tamaa kuitetea Serikali juu ya kushikiliwa Bombardier Canada. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 Dash 8 iliyonunuliwa na Serikali inashikiliwa nchini Canada kwa sababu serikali kushindwa kulipa deni ambalo wanadaiwa
Hivi bado wameishikilia tuu
 
hata kafulila walimwambia ripoti zake ni sawa na karatasi za kufungia vitumbua hiyo ni jeuri ya ccm tumeizoea !! wajua nini kilifuata na zile karatasi za kufungia vitumbua? aibu huwa haikwepeki ndani ya ccm huwa wanashindana na vyanzo vya habari utasikia wapuuzeni.
HALAFU WAKAMWITA TUMBILI...
 
Mbunge bora ni yule anayekaa na kutatua matatizo ya wananchi wake,sio kutoa mishipa ya shingo ili tu aandikwe magazetini,wakati wapiga kura wake meno yamekuwa mekundu kwa kushindia ugali wa ubuyu.
Mbunge àtatatuaje matatizo ya wananchi wakati yeye hakusanyi kodi? Tuambie ni mbunge yupi huyo aliwahi kutatua matatizo ya wananchi.

Wapo watu wamekaa bungeni miaka 20+ lkn majimbo yao ndo yako zaidi nyuma ki-maendeleo.! Matatizo unapambana nayo mwenyewe, sio kazi ya mbunge kupigania maisha yako.
 
Nasikia hata signal mpaka mpande juu ya mibuyu poleni sana,mwenzenu anakula kiyoyozi wakati nyie mnapulizwa na vumbi la ikungi.
Kwahiyo tuhame ikungi? tuambie uliko wewe ambapo hamna vumbi mkuu!
 
Back
Top Bottom