Wabunge wa ccm wako tayari kuongea hata "pumba"ili wasifukuzwe!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Ukiangalia sakata la David kafulila,kufukuzwa uanachama ikimaanisha pia hata ubunge wake ataupoteza ,hapa ndio naelewa kwanini wabunge wa ccm unaweza waona kama wanasahau akili zao,wanapotetea mambo ya chama,wako tayari kujipendekeza kwa chama kwa hoja zilizojaa porojo,mifumo ya demokrasia ya hii nchi inamfanya mtu kuwa mtumwa!bado kuna tatizo katika vyama vya upinzani either viongozi waliopo au taratibu ktk chama husika.
 
Back
Top Bottom