Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

Kuna swala moja la msingi tujiulize wana JF.
Huu msimamo wa saini 70 wa zitto ni msimamo wa CDM pia?
Kama ni msimamo wa chama kwanini haukutolewa na Mwenyekiti wake ambae ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.
Inawezekana kuna mambo hatujui huku nje.
OTIS

Very low mkuu hivi hujui Zitto ametoa hoja ya saini 70 kama nani? kama unamchukia Zitto pole sana yeye ndio Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma na ndie aliekuwa responsible na ku wind up mjadala wa kamati yake na ingekuwa vigumu kwa Mbowe kufanya hivyo kwani hata Zitto asingekuwepo hitimisho lingefanywa na makamu mwenyekiti wa kamati.

Pole mwanailluminati
 
Lukuvi afanye ajuavyo..come sun come rain sahihi ya edward llowassa naiona kwenye form plus mwanaharakati mwakyembe.....lazma wang'ooke hao mawaziri weziii
 
Naomba Zitto aweke majina hadharani ili tujue ni wabunge gani wenye uchungu na nchi hii na wale wanaojali matumbo yao.
 
Very low mkuu hivi hujui Zitto ametoa hoja ya saini 70 kama nani? kama unamchukia Zitto pole sana yeye ndio Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma na ndie aliekuwa responsible na ku wind up mjadala wa kamati yake na ingekuwa vigumu kwa Mbowe kufanya hivyo kwani hata Zitto asingekuwepo hitimisho lingefanywa na makamu mwenyekiti wa kamati.

Pole mwanailluminati

Mkuu lilikuwa ni wazo tu kwamba pale kwenye jambo linalohusu chama ni vyema akasema mwenyekiti
Kwa taarifa yako mie ni fan mkubwa sana wa Zitto.
Hapa nilikuwa natoa mapendekezo ya namna ya kuboresha zoezi hili kwani japokuwa mie ni CCM ila hili la mawaziri na viongozi wengine kutokuwajibishwa linanikera na lazima tuweke tofauti zetu za kichama lifanikiwe.
Nashukuru kwa taarifa kwani sikuwa najua zittoa alisimama kwa nafasi ya mwenyekiti ya kamati,haina haja ya kumrekebisha mtu kwa kumtusi.
OTIS
 
Ninachojiuliza hapa kwa nini saini ziwe 30 wakati wabunge wa CDM tu wanapita hiyo idadi.
OTIS
Nadhani hiyo idadi ni ya mpaka sasa (as it stands). Sidhani kama wabunge wote wa Chadema wako Dodoma. Wengine wako Dar au mikoani. Mpaka Jumatatu watakuwa wameshasaini.
 
Mkuu lilikuwa ni wazo tu kwamba pale kwenye jambo linalohusu chama ni vyema akasema mwenyekiti
Kwa taarifa yako mie ni fan mkubwa sana wa Zitto.
Hapa nilikuwa natoa mapendekezo ya namna ya kuboresha zoezi hili kwani japokuwa mie ni CCM ila hili la mawaziri na viongozi wengine kutokuwajibishwa linanikera na lazima tuweke tofauti zetu za kichama lifanikiwe.
Nashukuru kwa taarifa kwani sikuwa najua zittoa alisimama kwa nafasi ya mwenyekiti ya kamati,haina haja ya kumrekebisha mtu kwa kumtusi.
OTIS

Sijakutusi nimekueleza taratibu zinavyotakiwa kuwa na ukitaka ukweli hoja sio ya Zitto peke yake na ndio maana alisema wabunge wenye uchungu na nchi hii. Ungetaka iwe hoja ya CDM basi ungetegemea saini 49 lakini hoja iliyombele ni hoja ya kitaifa zaidi.

Nadhani utakuwa umeelewa maana nimetumia kiswahili chepesi sana.
 
Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR.
Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi

Source: Zitto on twitter

wabunge wa sisiemu nidhamu ya woga inawaponza, 2015 Lukuvi hatokuwepo majimboni kwao kuwapigia debe,kila mtu atakufa lwake its better they watch out before it gets dark!
 
Mkuu lilikuwa ni wazo tu kwamba pale kwenye jambo linalohusu chama ni vyema akasema mwenyekiti
Kwa taarifa yako mie ni fan mkubwa sana wa Zitto.
Hapa nilikuwa natoa mapendekezo ya namna ya kuboresha zoezi hili kwani japokuwa mie ni CCM ila hili la mawaziri na viongozi wengine kutokuwajibishwa linanikera na lazima tuweke tofauti zetu za kichama lifanikiwe.
Nashukuru kwa taarifa kwani sikuwa najua zittoa alisimama kwa nafasi ya mwenyekiti ya kamati,haina haja ya kumrekebisha mtu kwa kumtusi.
OTIS

Hili jambo halikuwa linahusu chama, linahusu msimamo wa wabunge wote bila kujali itikadi zao kichama. Na ndio maana saini za wabunge wa CCM ni muhimu. Zitto, kwanza kama mbunge na kisha kama mwenyekiti wa Kamati husika na pia Naibu Kiongozi wa kambi ya upinzani alikuwa na mandate zote kumove hiyo motion
 
Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR.
Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi

Source: Zitto on twitter

Wasaliti na Wanafiki watajulikana!Je lukuvi na Umma kipi bora?
 
ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa Kuwa upande wa wananchi.....

idadi inazid kusonga mbele...70 watafika tu
 
Hapo juu zitto amesema sipo 30

Tamko zito kama hili nadhani lilitakiwa litolewe na mwenyekiti
Ni mtazamo tu
OTIS

Ndio tangiapo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya mahesabu ya Mashirika ya Umma bungeni kwa mujibu wa vifungu husika.
 
hivi lukuvi anao huwezo wa kumzuia lowasa,mwakyembe,magufuli na wengineo wengi wasisaini? hivi kama baraza la mawaziri litavunjwa, inakuwaje hao mawaziri wanakuwa wastahafu ama wamefukuzwa kazi, isije ikawa hao tunaendelea kuwalipa na wapya wanaochaguliwa tunawalipa, naomba ajuae anaifafanulie tafadhali.
 
Sijakutusi nimekueleza taratibu zinavyotakiwa kuwa na ukitaka ukweli hoja sio ya Zitto peke yake na ndio maana alisema wabunge wenye uchungu na nchi hii. Ungetaka iwe hoja ya CDM basi ungetegemea saini 49 lakini hoja iliyombele ni hoja ya kitaifa zaidi.

Nadhani utakuwa umeelewa maana nimetumia kiswahili chepesi sana.

Zitto kusema wabunge wenye uchungu wa nchi hakuiondio CDM kama muasisi wa mabadiliko ndani ya nchi yetu
Na picha ya nje wabunge wa ccm wengi wao wanaonekana kuweka maslahi ya chama mbele kuliko nchi.
So,kwa maana hiyo saini za kwanza kabisa twazitarajia kutoka kwa wabunge WOTE wa CDM,baadhi wa CUF,NCCR na wachache kutoka ndani ya CCM.
OTIS
 
Deo filikunjombe ametia saini
Kazi inaendelea
OTIS
 
Back
Top Bottom