Wabunge wa CCM wadhihirisha ubovu wao

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....
 
Nivema tungefahamu kanuni za bunge zinasemaje pale wabunge wanokosa imani na mawaziri nini kinapaswa kufanyika?
 
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....

Vijana walumumba wanajanga umewaita mawaziri wao dhaifu...
 
Wazee wakulalamika wee mwishoni naunga hoja mia kwa mia
 
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....

Mkuu kwa hali ilivyo sasa Mizigo sio pekee kwa mawaziri bali kila sehemu ndani ya CCM ni Mzigo na hili linatokana na UCHAKAVU uliopo kila sehemu ya chama hiki, ebu tutafakari ili tukio moja ambalo alilifanya Rais Kikwete kwa kuteua Wabunge wa vitu Maalum na kuwapatia Uwaziri huku nyuma yake kukiwa na wabunge zaidi ya 150 waliochaguliwa na wananchi hii inadhihirisha wazi kuwa kati ya wale zaidi ya 150 hakuna aliyekuwa na uwezo wa kuwa Waziri na kwa hiki tusitarajie lolote la maana kutoka katika WABUNGE hawa.
 
Wabunge wengi wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge, mfano hai ni SUGU, LEMA, MSIGWA na WENJE...
 
Hayo mabunge maccm yenyewe ni mizigo tosha,kichekesho chao ni kwamba mizigo inalalamikia mizigo nyenzake.mwee!
 
...

NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

By yegella
 
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....
Hiyo mbona ndo walivyo kwani hukuwaona jinsi walivyokuwa eti wanalalamika kwa Kinana hela zimetengwa kwenye bajeti lkn hazifiki kwa wakati na ni watu hao hao wakiwa bungeni kila kitu naunga mkono hoja utafikiri malalamiko yanaenda kwa mtu mwenye mamlaka kuliko bunge. Shame on them
 
...

NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

By yegella

Nimeitafuta sana hii kwenye store yangu.
 
Henry Kilewo Umeonyesha wazi upeo wako ulio mfupi kuliko maisha ya funza katika thread hii.

...Nyuki ni mdogo sana lakini anaweza kuwa na maarifa kumzidi binadamu

cc Ecologist..
.

NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

By yegella

...
 
Wabunge wengi wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge, mfano hai ni SUGU, LEMA, MSIGWA na WENJE...

Jadili hoja na si kuleta uharo wako hapa! hao magamba wanaojua kanuni mbona wananchi wanawaona mazuzu kwa kuunga mkono 100% huku wakilalamikia majimbo yao kukosa huduma za msingi? Na inakuwaje mawaziri wanaosifiwa kila uchao leo hii waonekane mizigo? Kama hao waliochaguliwa miongoni mwa gambaz kwa kuonekana wanafaa kumbe mizigo!Je, hao waliobaki ni sawa na mizigo iliyovunda na kunuka?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom