Wabunge wa ccm tuelezeni "wahindi wa rites" wameliingizia taifa hasara kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm tuelezeni "wahindi wa rites" wameliingizia taifa hasara kiasi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Aug 1, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Nawauliza watanzania wenzangu, hivi mmefurahishwa na hasara waliotusababishia wahindi, a.k.a wawekezaji wa "RITES" kwenye reli yetu?
  Nakumbuka wafanyakazi wa iliyokuwa TRC waliwakataa wale wahuni wa kihindi (walioindinishwa na CCM pale kitalani) kwa kutubainishia ubabaishaji wao. Vyama vya siasa vya upinzani vilipinga kwa hoja, ccm ikawazidi kwa makelele ya ndiooooooooooooooooooo, na hatimaye ccm wamethibitishiwa kuwa si wasikivu,
  ccm tuambieni ndiooooooo yenu imetutia hasara kiasi gani na nini adhabu yenu?
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi hata nchi hii ikifikia kiwango cha kufilisika kabisa sitashangaa maana kila mtu ni mchumia tumbo.Kinachoniuma tu ni PPF yangu ambayo wanataka eti nifikishe 55 otherwise hayo mengine ni ya kupita tu tukitaka kujua hasara tunaweza kufa na PB maana hakuna mwekezaji ambae hajaiitia hasara nchi hii sema tu hasara zinatofautiana lkn kila mwekezaji ameliingizia taifa hili mabilioni ya hasara.Anzia NBC,Netgroup Solution,makampuni ya madini,makampuni ya uwindaji yote haya yanaiingiza serikali hasara. Simply because hakuna usimamamizi kila mtu akishakula 10% anawaacha hawa jamaa wafanye wanalolitaka hata wakiua raia ni sawa tu.Tusubiri siku ya kiama naamini jehanamu itakuwa na magrade hata kama biblia inasema kuwa jehanam ni moja mimi naamini tumefumbwa tu jehanamu ni moja lkn kuna grades
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata wakitupa haitatusaidia wala hakuna watakachokifanya zaidi ya sisi kuendelea kuumia.hawana jipya hao wanaiba kila kukicha kwani hiyo ndio sera ya sisiemu.presure tu wanatupa
   
 4. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  chenge mtemi mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi wakati huo alikuwa waziri wa uchukuzi, akauza TTCL, na akahamia TRC leo mwenyekiti wa fedha, mtemi huyo.Liyemwanga unga mweupe bungeni, mzee wa visenti.Kwanini asitetewe na akina anna abdalah na wabunge wa viti maalum na spika?nchi yetu shamba la bibi ;Kwanza kabla ya kununua hisa za RITES walitakiwa kueleza kwann alishindwa?
   
Loading...