Wabunge wa CCM ndio waliopitisha mikataba mibovu

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,495
2,000
Wabunge wa CCM ni wanafiki na ndio waliotufikisha hapa tulipo, hatutegemei Spika huyu aruhusu wapinzani kuhoji na kujadili zaidi ya kuleta upuuzi uleule, Tundu Lissu ni mwiba na tabia yao ya kupitisha mambo kwa ushabiki ndo inatughalimu. Hii mikataba yote ya madini ni matokeo ya upuuzi wao wasituzingue hapa
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,520
2,000
Alafu nchi hii ilivyokuwa na vituko hyo hyo mmoja wa watuhumiwa analiendesha bunge

OvA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom