Wabunge wa CCM na wana CCM kwa ujumla, Magufuli atawaona wa hovyo sana kama..

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
500
Ina maana ninyi hamkuona uozo uliokuwa ukifanywa? si ninyi ndio mlokuwa mkipiga makofi na kusema ndiooooo hata kwa mambo ya hovyo?

ni kwa nini mnamtegemea raisi aseme kila kitu? mnaonaje kamaikatokea siku raisi akachukua jambo jema kutoka kwenu na kulifanyia kazi? hamuoni mtakuwa mmemsaidia Raisi?

yani mmekuwa kama watoto!bila mh Raisi kuibua jambo na kulisimamia ccm kila kona hamsikiki.

naamini kabisa mh raisi akiangalia bunge anachefukwa maana mnachoongea hata katika mambo ya msingi ni ngonjera. hamuoneshi kuwa serious hata kidogo.

nyie ndo mliwatukana wapinzani, mkawatoa nje na kuwafungia, mkapitisha sheria mbovu kwa hadhi ya dharura. najiuliza hivi hamkujua kwamba mikataba ilikuwa mibovu? hamkuisoma?

leo Raisi akiwaona eti mnaenda kumpongeza kwa matatizo mliyosababisha ninyi si atatapika?
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,557
2,000
Tz na CCM kwa ujumla wanakosea kumfanya Rais kuwa mungumtu, na hii ndiyo imeleta shida hata huko nyuma hao wakuu wa nchi hii waliamua na kutukuzwa hata kwa yasio na tija kama hili la mchanga wa dhahabu.

Tuweke utaratibu utakaofuatwa na kila moja awe CCM au nje ya CCM
 

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
1,976
1,225
unatakiwa uwe ma akili ya mwehu mwendawazimu kabisa......ili kuwaelewa wana cccm....lakini kama unaakili timamu huwez kuwaelewa watu hawa........ukinya juu ya sahani watasema ndiooooo....ukila kile kinyesi watasema ndiooooooo.....ukiugua Shigellosis watasema ndiooooooo....ukifa watasikitika sana kama leo wanavyosikitika eti mikataba mibovu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom