Wabunge wa CCM na uungwaji wa hoja kwa 100%....mnadanganya bunge na watanzania.

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Jamani wabunge, kama kiingereza ni kigumu hata lugha yetu ya kiswahili imekuwa ngumu, hivi Mbunge anapounga mkono hoja alafu anaanza kuelezea udhaifu wa hoja yenyewe, hivi nyie kama great thinker mnadhani ni sawa kweli?... Mimi kwa upeo wangu mdogo wa kuelewa napounga mkono hoja au jambo fulani nasema "nimeunga mkono hoja nukta" sitii hata neno..hebu ti-ri-ri-ke-ni.
 
Ndugu unaweza ukawa msomi lakini ni wa kitabu tu,Tena ni hasara kubwa kama ulikuwa unasoma kwa kukariri au kuunga unga vyeti.Ndo maana wana umbuka sana,Na hata jamani ushauri wa kichwa chake uko miguuni,akilala unamjia na akikanyaga chini anapoteza matirio labla hapo bungeni waekewe kitu cha kuelea hili yakitaka kutoka yashindwe na achangie hoja vizuri.
 
Kweli kabisa mkuu, wabunge kama hawa hakuna sababu ya kichwa kuumiza shingo ni bora aikate tu! Maana hakuna mawasiliano kati ya upongo ulipo kichwani na utashi wake...hasara kubwa sana kwa watanzania
 
Back
Top Bottom