Wabunge wa CCM na UKAWA kuungana bungeni?

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
ni kutokana Na mambo mengi.

Issue ya Bashite

Issue ya Mchanga

issue ya Nape

issue ya bajeti ya maendeleo ilopita kuwa under 40%

bajeti mpya kukosa muelekeo WA Tanzania ya viwanda.

JPM ajipange yale mambo ya Ndioooooo yanaenda kupotea. Nothing to lose si CCM Au UKAWA wabunge wote wamebanwa Na akili zao sasa zimerejea kujadili hoja kwa hoja Na si hoja ya Nguvu( yani Ndioooooo)

paza sauti kulinda mifumo,taasisi Na katiba
 
Kura ya kutokuwa na imani na MZIZI mrefu kupita yote

INAWEZEKANA?


Kama haiwezekani


HAINA MAANA KUUNGANA!


8750f299afe7fec527935b2ca5bd2797.jpg

 
Halafu wasafirishaji wanamjaribu mtukufu wetu kesho!!! Unafikiri serikali itapata hasara kiasi gani? Kwamba makusanyo ya faini kwa kesho yatashuka sana na mgomo ukifanyika siku hata 10,basi hakuna mshahara wa mwezi fulani hivi
 
Kwenye hilo wabunge wa CCM sio wa kuwaamini sana wao ndio waliotufikisha hapa na caucas zao hata maamuzi ya mzizi uliojichimbia sana wana baraka nao whether direct or indirectly
 
Source ya habari ni tambala la kusafishia wauza madawa ya kulevya linaitwa Tanzania daima
 
Wabunge wetu wajifunze kutoka wabunge wa Republican walivyosimama kulinda maslahi ya nchi yao dhidi ya Trump kutaka kuifutilia mbali OBAMACARE. Cha muhimu hapa tuhoji uhalali wa mambo yanayokwenda sivyo ili kurudisha kila kitu kwenye utawala wa Sheria. Naona giza ila baada ya hapo nuru kubwa iko njiani iakamilika.
ni kutokana Na mambo mengi.

Issue ya Bashite

Issue ya Mchanga

issue ya Nape

issue ya bajeti ya maendeleo ilopita kuwa under 40%

bajeti mpya kukosa muelekeo WA Tanzania ya viwanda.

JPM ajipange yale mambo ya Ndioooooo yanaenda kupotea. Nothing to lose si CCM Au UKAWA wabunge wote wamebanwa Na akili zao sasa zimerejea kujadili hoja kwa hoja Na si hoja ya Nguvu( yani Ndioooooo)

paza sauti kulinda mifumo,taasisi Na katiba
 
Wabunge wa ccm wakiamua wanaweza,Ikumbukwe waliwahi kuzuia bajeti ya Nishati na madini mpaka package ya REA iongezwe na waliweza.
 
Wabunge wa ccm hawawezi fanya hivyo kwani ni wabinafsi.Hawafanyi maamuzi kwa maslahi ya taifa bali kwa maslahi yao wenyewe.Nivigumu sana kuunganisha nguvu na ukawa.
 
Basi kama yalemambo ya ndioooooooo yatakwisha basi taifa litapiga hatua moja mbele.
 
Lazima waungane kwani wameshajua wasipofanya hivyo 2020 wale wote waliotofauti Kiranja mku hawatarudi, ndo maana tunaona wale waliopewa majukumu ya kuwaridhi ndo wanasikika huko ktk Majimbo. Yaani wale walikuwa ndo wenye sauti
 
Back
Top Bottom